Marioo 的热门歌曲
类似歌曲
制作
出演艺人
Marioo
表演者
Harmonize
表演者
Omary Mwanga
表演者
Sky
表演者
Rajabu Abdulkahali Ibrahim
表演者
作曲和作词
Marioo
词曲作者
Harmonize
词曲作者
Sky
词曲作者
制作和工程
Sky
制作人
歌词
Eeeh, yao-yao
Konde Boy, call me number one
Baresai-ih, uuh-uuh yeah (sky)
Ah, dakika elfu moja mia nne arubaini
Hunitoki, oh
Ah, masaa ishirini na manne
Huondoki tuu
Kwenye moyo wangu jenga, sawa
Maana kila unapodunda pu, unataja jina lako
Wenye moyo wangu huishi, sawa
Kila napotaka sema su naiona sura yako
You're my angel (ooh, lalala)
You're my everything, you're my everything eeh
You're my sweetie (tararara)
Mi nataka nawe, na wewe milele
Don't you go away?
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don't you go away?
Mi nataka nawe, na wewe milele
I know, I know, I know
Uzuri, uzuri wako nawapa chefu wenye chuki na hira
Asikamara hisi kuwa na shepu akajaribu mloga nzila
Eti nakesha nakombea ndio kisha najombea
On a series loving there, and I promise to never share
My baby boo sasa mbona unishahamu
Kutwa kucha nakuongelea, wewe nakuongelea
And I swear baby sio tu damu
Hata figo ntakutolea, wewe nakutolea
Mmh, mwenzako 'ko nyumba nshakuzunguka
Sitaki hata kumbuka machungu
Yale si mapenzi vitungu
Ila baby wewe ulinifuta machungu
Siku ukienda utaniua mende kwa bonge la rungu
Don't you go away (don't go, don't go)
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don't you walk away
Mi nataka niwe na wewe (niwe na wewe)
Don't you go away (baby, baby, away)
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don't you walk away
Mi nataka niwe na wewe milele (niwe na wewe)
Writer(s): Marioo, Sky
Lyrics powered by www.musixmatch.com