制作
出演艺人
Alveinsybass
贝斯
Noel Lameck
钢琴
作曲和作词
Rashid Salim Goda
词曲作者
Said Gabriel Mafu
词曲作者
制作和工程
Kemet Ancient People
制作人
Real Man Fefe
制作人
Nyati
母带工程师
歌词
Kunabantu
abanomona
wokusibona
siphumelela
Yeah its much weight to be juggling
Every day in the hood we been struggling
Tulijitusu kwenye Hustling
We just trying to get that cash no more suffering
And when the rent keep doubling
Tunaenda resi hatuna muda wa ku cuddling
We them ones na hii njia tulishaiamini
Hata iwe ngumu tunaiforce coz we masculine yeah
Na nashukuru niko hapa
Tangu ninakua I always wanted to be a rapper
My whole life I was living like a trapper
I dont brag about it cause it never really matter
Pesa imeshafanya wa snitch marafiki
Nilihisi wana kumbe wanaishi na mimi kinafiki
Sasa hivi wakiniona kila mchongo unatiki
Wished ningekuwa down ila mchizi niko fiti
Sisi ndio wale mungu ameshatubariki
Hata ufanye nini hatuwezi kurudi kwenye dhiki
We them ones and the confidence is peaking
Huwezi kutushusha tuu hivi hivi
(nobabangathin)
We them ones for sure
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Oooh oh
We them ones for sure
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Oooh oh
Kila jambo linakuja kwa wakati
Kuna sababu ya kufikiri what we lacking
Kama winger anavyopita juu ya chaki
Ukiwa mjinga bila control lazma utapigwa bambi
Real **** wala sijigambi
Mjeshi wa ukweli nishajitoa na siogopi mi popote kambi
Hawanijui ila wanataka kunipima
Hatufanani na ndio maana mi nimekaa kimya
Baada ya pesa tunataka heshima
Huwezi kunizuia nikilipuka shit is heavy kama heroshima
On my soul, never fold, I'm the chosen one
one of them ones, look what I become yeah
how can I forget when it was only last year
Milango ilifunga now the version is so clear
We them ones now mitaa tushifikia
Japo wanafki wanachukia bado si tunawakazia
Hata nisipokuwepo sauti haiwezi kufifia
Mitaa inaaminia now hakuna cha kuhofia
I let em know, kivyovyote tutafanikiwa
Wala hatujali kuchelewa tushakaribia yeah
We them ones for sure
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Oooh oh
We them ones for sure
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Oooh oh
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Sizo'phumelela
Written by: Rashid Salim Goda, Said Gabriel Mafu

