制作

出演艺人
Top C
Top C
表演者
作曲和作词
Top C
Top C
作曲
制作和工程
Damson Notation
Damson Notation
声乐制作人

歌词

Vers 1
Kuishi kwa Dhiki Sio Chaguo, Ishi kwa imani, Mwenzako Sikupenda Niwe hivi
Haya ni mapitio ya Dunia My Love, Subiri ikibidi, Hebu kumbuka zamani wakati na Hit Hapa mjini, Sababu ya ulofa Iko kwa Chat, Jamani ulikosa nini?
Napenda Upendeze sana Kama Joket Au Lulu, Uwe Maarufu sana, kuliko Nandy Au Zuchu. Mola Nilinde Nakufuru maana Chuma Naliwa na kutu, Tule Letu chukuchuku maana Upendo sio Rost La kuku. uuuuuuh
Chorus
Ooooh My Love Nakupenda Wee Nipende
Ooooh My Love Nipe Raha, Mama Hayayaa
Ooooh My Love Nakupenda Wee Nipende
Ooooh My Love Nipe Raha, Nananananananaa
Vers 2
Kama shida Motorcar kwa Cadabra, Kama ni kushinda njaa hatujakula sio mpango wangu mamy oooooh
Ila kama utakomaa tutakula usidhani ni hadithi fanya subira mpenzi wanguuuuh
Hebu kumbuka zamani wakati na hit hapa mjini sababu ya ulofa ipo kwa chat jamani ulikosa nini.
Napenda Upendeze sana Kama Joket Au Lulu, Uwe Maarufu sana, kuliko Nandy Au Zuchu. Mola Nilinde Nakufuru maana Chuma Naliwa na kutu, Tule Letu chukuchuku maana Upendo sio Rost La kuku. uuuuuuh
Chorus
Ooooh My Love Nakupenda Wee Nipende
Ooooh My Love Nipe Raha, Mama Hayayaa
Ooooh My Love Nakupenda Wee Nipende
Ooooh My Love Nipe Raha, Nananananananaa
Laaa laa lalaaa, Lololololooo
laaa laa lalaaa lololilololo ooooh
Laaa laa lalaaa, Lololololooo
laaa laa lalaaa lololilololo ooooh
Written by: Top C
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...