歌词

Mungu ndo aliumba mbalamwezi na jua Na tena kwa majira tofauti kutustiri Aaaah ona ye pekee ndo anayetambua Yupi anasema ukweli na yupi msiri Aaaah na asikwambie eti kwamba niko Sawa usisikie uwe ndo pacha kwa mbali unanikwaza Basi nihurumie marafiki wasifanye unichukie Moyo kukataza kwa mbali nawe najikaza, siyawezi Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa, Nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa, Unachoniachia ni maumivu kwenye Upendo wetu (unachonipa ya kwamba eeeh) Umeniacha na nani? (sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri) Umeniacha na nani (nimekuwa dhaifu inauma na roho) Umeniacha na nani (hata huruma hauna ah hauna aaah) Umenicha na nani (nani ihi, ni nani umeniacha na yeye) Sitaki kuwa kobe la mchana kipitacho mbele Nikakobelea tu na hisia siwezi zidanganya, Nimezama nishakuzoea boo Mapigo ya moyo yatafeli kweli, Isigeuke vita karaba na kirikuu, tuliahidi si tutapendana, Tutasemaheana sa mbona unaniruka weee Nawaza kwa mganga nikupige ndele, Moyo unaniambia niache kiherehere, maana ni hasara hasara aaah Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere, Kifuano utalala, utalala aaaah Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa, Nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa, Unachoniachia ni maumivu kwenye Upendo wetu (unachonipa ya kwamba eeeh) Umeniacha na nani? (sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri) Umeniacha na nani (nimekuwa dhaifu inauma na roho) Umeniacha na nani (hata huruma hauna ah hauna aaah) Umeniacha na nani (nani ihi, ni nani umeniacha na yeye Mmmh aaah oyeyeye aaah, chinga ah, Konde Music Worldwide, Aaah Nawaza kwa mganga nikupige ndele, Moyo unaniambia niache kiherehere, maana ni hasara hasara aaah Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere, Kifuano utalala, utalala aaaah
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Warren Frank Kawiche Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out