音乐视频
音乐视频
制作
出演艺人
Eric Wainaina
领唱
Mbogua Mbugua Mbugua
伴唱
Vincent Ngugi
领唱
Lisa Odour-Noah
领唱
Marvin Maveke
鼓
Manasseh Shalom
伴唱
Wambura Mitaru
伴唱
Mark Mbari Gathariki
伴唱
Catherine Waithera Chege
伴唱
Samuel Mwangi Warui
伴唱
Lena Adhiambo Odhiambo
伴唱
Faith Chepkorir Langat
伴唱
Kendi Nkonge
伴唱
Benjamin Kabaseke
电吉他
Asaph Uzele
低音吉他
Timothy Arinaitwe
原声吉他
Victor Kimetto
键盘
Hornsphere
小号
作曲和作词
Eric Wainaina
词曲作者
Vincent Ngugi
词曲作者
制作和工程
Eric Wainaina
制作人
Mbogua Mbugua Mbugua
制作人
Rushab Nandha
母带工程师
Tim Lengfeld
母带工程师
歌词
Nani mjinga
Nani mjinga
Basi, nani mjinga
Nani mjinga
Haki, sio mimi
Nani mjinga
Haki, sio mimi
Basi, nani mjinga
Haki, sio mimi
Usiwai ogopa mwizi ambaye atakukuibia kibeti
Pengine ogopa yule ambaye amekalia kiti cha enzi
Anakuchekesha
Anakuigiza
Aongea kwa misiba
Marehemu akichomwa na jua
Twanyosha mikono twaiuza soko
Kwa bei ya t-Shirt moja
Bwana Mkubwa umepotea mda
Nipige jeki ya soda
Umejiongezea mshahara
Umeiba dawa za Corona
Pengine ni save hii nauli
Nikutembelee Kamiti
Nani mjinga
Haki, sio mimi
Nani mjinga
Haki, sio mimi
Basi nani mjinga
Haki, sio mimi
Ajitokeze tumuone
Nani mjinga
Haki, sio mimi
Nani mjinga
Haki, sio mimi
Basi nani mjinga
Haki, sio mimi
Ajitokeze tumuone
Nikiulizwa kwa maoni yangu
Tuko wengi kama siafu
Viongozi watucheza kadi
Wanatupiga bafu chafu
Kama mwenda wazimu
Nje ya marikiti
Tumesimama uchi
Tukisuka mavuzi
Shamba ni letu
Lakini meneja amekuwa mjasiri
Hajali mchana
Kwa upanga amekata shimo mpakani
Apitisha ng'ombe
Faranga na mbuzi
Aziuza sokoni
Eti zimezama mtoni
Nani mjinga
Haki, sio mimi
Nani mjinga
Haki, sio mimi
Basi nani mjinga
Haki, sio mimi
Ajitokeze tumuone
Nani mjinga
Haki, sio mimi
Nani mjinga
Haki, sio mimi
Basi nani mjinga
Haki, sio mimi
Ajitokeze tumuone
Ewa ewa ewa ewa
Ewa ewa eee!
Ewa ewa ewa ewa
Ewa ewa eee!
Ewa ewa ewa ewa
Ewa ewa eee!
Ewa ewa ewa ewa
Ewa ewa!
Tunaitisha Barabas
Yesu akifa Golgotha
Tumemuuza kwa mapeni
Tukasare uzima wa milele
Judas! Judas! Oh
Nyumbani kwenu kilio
Kiongozi anakula nyama
Ulipiga panga mwenzio
Ewa ewa ewa ewa
Ewa ewa eee!
Ewa ewa ewa ewa
Ewa ewa eee!
Ewa ewa ewa ewa
Ewa ewa eee!
Ewa ewa ewa ewa
Ewa ewa!
Ewa!
Ewa!
Ewa!
Ewa!
Ewa!
Ewa!
Ewa!
Ewa!
Written by: Eric Wainaina, Vincent Ngugi


