音乐视频

制作

出演艺人
CARTOON47
CARTOON47
表演者
作曲和作词
DAVIS MNANGA OTATWA
DAVIS MNANGA OTATWA
词曲作者

歌词

Okay Yoh Cartoon, Arita Music Rekles, na tuko on the (It's Jegede on the Beat) Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado) Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado) Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado) Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado) Cheki mi sijichochi mnanijua Nani ananitambua Unadai nini bro chukua Nani ndo ananunua Wakipewa wapewe wote Si chai nasema pombe We naye unakaa ka ng'ombe Niko maji buda pole Nilikuita form ukachelewa Sai ona mi nastagger Mi nastagger ju nimelewa Niko niko maji watanimiss Mi husele daily Cheki hakuna siku naeza miss Mi hukata daily lazima jo nibleki Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado) Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado) Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado) Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado) Hot like fire, man a bad gyal we a enter the room Loving the music boom boom boom You like the smell on my sweet perfume Your bills on me tonight, drinks on me tonight Feeling happy tuko party kata maji Mbona hujalewa baby Shakara for me, sherehe ndo hii Shakara for me, sherehe ndio hii Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado) Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado) Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado) Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado) Waiter leta kwanza, leta kwanza glass Waiter waiter nishapanda class Staki Guarana na niko kwa bar Sipendi kuchana na madada Leo mi ndio sos seti ganji kibao Nafunga kikosi kwa beach mabao Wife ndio kubonga na mi baba yao (Baby usikam home umelewa Tena usikam home kama umechelewa) Na leo niko maji sijui nifanyaje Ebu kwanza tupige stori Nina wife lakini usiworry Cheza chini cheza chini ndio lugha Si unajua wife home kuvuruga Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado) Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado) Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado) Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado)
Writer(s): Davis Mnanga Otatwa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out