album cover
Wapi
434
Afro-Pop
Wapi 由 Mechao Music (On Behalf of Andrew Mwawana) 于 2024年4月24日 发行,作为专辑“Wapi - Single”的一部分。
album cover
发行日期2024年4月24日
唱片公司Mechao Music (On Behalf of Andrew Mwawana)
旋律性
不插电
Valence
舞蹈性
能量
BPM95

音乐视频

音乐视频

制作

作曲和作词
Andrew Mwawana
Andrew Mwawana
词曲作者

歌词

They call me andy boy Onanananananah
Ooooiiii napona aah
Panapo raruka Unaposhona aah
We ndio tiba ya moyo Wangu
Nimekukabidhi funguo Za roho yangu
Wewee
Mi ni yule Lazaro niliyekufa
Weh yesu nifufue
Kwenye jangwa la Mapenzi
We maji nikomboe
Unanifanya nagunaguna
Nashindwa sema
Utamu umezidi tunda Nashindwa koma
Unanifanya nagunaguna
Nashindwa sema
Utamu umezidi tunda Nashindwa koma
Aaaeeeh
Nitampata wapi kama Wewe
Aaaeeeh
Nimpende nani anipende Zaidi yako
Aaaeeh
Nitampata wapi kama Wewe
Aaaeeeh
Nimpende nani anipende Zaidi yako
Aaaeeh
Naloa tepe tepe
Ukinigusa mwenzako ni Mwendo teke
Bomoa weka sete
Nimejihami na Vita za Machete
Tit tat tamu kolea
Penzi limekolea
Ukizidi jongea
Mama nazidi lemewa
Mana the way you make Me feel
Nahisi kama naimiliki Dunia
Nitafunga na suna
Niishi nawewe milele Daima daima
Unanifanya nagunaguna
Nashindwa sema
Utamu umezidi tunda Nashindwa koma
Unanifanya nagunaguna
Nashindwa sema
Utamu umezidi tunda Nashindwa koma
Aaaeeeh
Nitampata wapi kama Wewe
Aaaeeeh
Nimpende nani anipende Zaidi yako
Aaaeeh
Nitampata wapi kama Wewe
Aaaeeeh
Nimpende nani anipende Zaidi yako
Written by: Andrew Mwawana
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...