音乐视频

制作

出演艺人
Willy Paul
Willy Paul
表演者
Wilson Ouma
Wilson Ouma
表演者
Saldido International
Saldido International
表演者
Kimambo On The Beat
Kimambo On The Beat
表演者
作曲和作词
Wilson Ouma
Wilson Ouma
词曲作者
制作和工程
Saldido International
Saldido International
制作人
Kimambo On The Beat
Kimambo On The Beat
制作人

歌词

Pozeee Saldidoo Aaaaah yeah Mmmmmmm Mtoto we ni thitima yaani umeme meme Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme Kila napo kam kam baby we ni tam tam Moyo wangu umefanya zam zam Kama gari nanguruma vrum vrum Na kwa mapenzi girl umenifanya bubu Ooh baby nononono I really love you and you already know Ooh baby nononono I really love you and you already know Ooh baby nononono I really love you and you already know Uuh my love I was born to be with you uuh... Mtoto we ni thitima yaani umeme meme Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme Mtoto we ni thitima yaani umeme meme Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme Papararapapa Papararapapa Papararapapa Ngozi yako iko soft soft Mtoto we ni soap soap Matatu yangu iko pararapirera Iko ready kuku beba In this life, the little things That you do keep me going In this life your prayers mama keep me going Because of you, I'm no longer bwana mkunaji Sa mi ni bwana mpendaji mama Swear staki ata Nandy Kanifunza ukunaji mama Mmmh mmmh Mmmh Mtoto we ni thitima yaani umeme meme Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme Mtoto we ni thitima yaani umeme meme Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme Papararapapa Papararapapa Papararapapa Kila corner umeteka thitima Nishazama kwa mapenzi ooh thitima Kila corner umenibeba thitima Nishazama kwa mapenzi ooh thitima (Ooooooooh) Mtoto we ni thitima yaani umeme meme Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme Mtoto we ni thitima yaani umeme meme Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme Papararapapa Papararapapa Papararapapa
Writer(s): Wilson Abubakar Radido, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out