歌词
[Verse 1]
Nilimwambie asile ye alikula akavimba akaja
Mtoto mzuri aliyezaa na yule jamaa mwenye mahela
Akaniacha na njaa kwenye mataa
Yeye akaniacha nalia na Mola,Ali wa leo nalia na Mola
[Verse 2]
Yule aliye kupa wewe ndio kaninyina mimi
Na kama riziki anatoa yeye basi ntakosa mimi
Ila mola ndio anayetoa
Tena kwa foleni hata kama niko nyuma nitapata lazima
[Chorus]
Asile ana maana yule
Mimi na yule tulipendana yule
Ale dushelele dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele dushelele dushelele ooh
Ale dushelele dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele dushelele dushelele ooh
[Verse 3]
Yule aliyepanda kwenye lile shamba langu
Hakuona uchungu kuizunguka nyumba yangu
Ukatanda ukungu kwa penzi la madhulumu
Anayetena kamtema alikuwa hawara
[Refrain]
Mimi na yule (Yule)
Tuliona yule
Mimi na yule (Yule)
Tulifunga ndoa
[Verse 4]
Anatanga na kichanga kutwa kiguu na njia
Na nani ampe rupia iende pasi na fadhila
Madhila anayopata nikimuona namhurumia
Natamani arudi kwangu ila kumwambia sio sawa
[Refrain]
Mimi na yule (Yule)
Tuliona yule
Mimi na yule (Yule)
Tulifunga ndoa
[Verse 5]
Maji ya mapenzi aloonyesha yalifata mkondo yaakenda
Na radi ikapiga kumaanisha kwamba nilimpenda
[Refrain]
Mimi na yule (Yule)
Tupendana yule
Mimi na yule (Yule)
Tulifunga ndoa (Yule, yule)
[Chorus]
Ale dushelele dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele dushelele dushelele ooh
Ali wa guitar, ale wale wa ooh ooh
[Chorus]
Ale dushelele dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele dushelele dushelele ooh
Ale dushelele dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele dushelele dushelele ooh
Ali wa guitar, ale wale wa ooh si uwaone
Written by: Ally Salehe Kiba