歌词
So faamous..
Moccasin
Jay Moe
Juu piga suit..chini piga moccasin..
Kitanashati, chini pia moccasin
Juu twende suit..chini twende moccasin..
Paul Smith, Kingsman, Christian Louboutin
Countrywizzy
Twende suit na moccasin...
Suit na moccasin...
Bila loafers ,bila mocca, hauzami ndani
Twende suit na moccasin..
Suit na moccasin...
Paul Smith, Kingsman, Christian Louboutin
Jay Moe
Superman...
Huh!!
Wamezoea kuniona me natoka kihuni!!! (toka kihuni!!!)
Na mafulana, na majeans shuka chini!! (shuka chini!!)
Leo ni kiutu uzima, mwendo wa suit na moccasin
Black tuxedo chini black loafer za santoni
Looking so official, hamna jordan wala kd
Mhuni ndani ya suti na wala siendi kuomba kazi
Suruali imenyooka, halmanusura iunguzwe na pasi
Tunaita black execellence...
All my **** be bossin
Utamu wa suti lazima shingoni unyonge na tai
Nnazo nyingi kama vijiti, naweza nyonga everyday
Extra long tie, bow tie, neck tie..whatever u say...
Na haina noma, kama ukiuliza na bei
I got suits like Jongwe,..suits by kenzo
Leo hakuna timberlands, addidas wala kangol
Neighbors wanasifu wakiona nimepiga ki dingoo
Mtanashati kushinda hata la sape wa congo
..Check chini...alligators on my feet (on my feet)
Kiofisini, siyo kisela kila siku (kila siku)
Leo ni moccasin,hakuna fila..kuna clarks
Bila suti hauzami, and that\'s the dress code of the night..
Its alright, Moe!!
Jay Moe
Juu piga suit..chini piga moccasin..
Kitanashati, chini pia moccasin
Juu twende suit..chini twende moccasin..
Paul Smith, Kingsman, Christian Louboutin
Countrywizzy
Twende suit na moccasin...
Suit na moccasin...
Bila loafers ,bila mocca, hauzami ndani
Twende suit na moccasin..
Suit na moccasin...
Paul Smith, Kingsman, Christian Louboutin
Countrywizzy
im looking fresh and clear, na sinaga ego
Leo ni mwendo wa suit and tie, thats how we go
Smelling gucci, kama sio hermés , basi dior
Leo hatuvai kibishoo, ni majumba ya tuxedo
Yeah! hata kama nikitaka mikopo napata, full black suit, chini moca inawaka, mifukoni nna vibunda, mbona utanitaka...yeah!
(Come again!)
hata kama nikitaka mikopo napata, full black suit, chini moca inawaka, mifukoni nna vibunda, mbona utanitaka...yeah!
Im too classic, yeah!
Leo ni mwendo wa moccasin, no fake nikes, yeah!
I know you broke **** tryin to fight me, yeah!
That hypotheti-cally, they dont like me, yeah!
But im too nice, yeah!
Si unajua jumba baba..
Hamna price tag, tailor made, nilianza kusketch with my ipad
Si unaona mocca nnayoivaa, wewe hauivai
Mocca fulani, niliagizia paris, nikaifatia dubai
Jay Moe
Juu piga suit..chini piga moccasin..
Kitanashati, chini pia moccasin
Juu twende suit..chini twende moccasin..
Paul Smith, Kingsman, Christian Louboutin
Countrywizzy
Twende suit na moccasin...
Suit na moccasin...
Bila loafers ,bila mocca, hauzami ndani
Twende suit na moccasin..
Suit na moccasin...
Paul Smith, Kingsman, Christian Louboutin
Soo Faaamous
Yule Boy
Written by: Ibrahim Ayoub Mandingo, Juma Mohamed Mchopanga


