制作

出演艺人
Dj Kezz
Dj Kezz
表演者
作曲和作词
Dj Kezz
Dj Kezz
词曲作者

歌词

Je Baba, Baraka zako zaja kwa Njia Ipi??
Sijui kama ni kwa matone ya mvua
Je Baba, Uponyaji Wako tutapata Vipi?
Tuondolee Adhabu ya Enzi ya Noah
Najua Unaweza kutuokoa kwenye dhoruba Unaweza,
Na Hata Usipo Ni Kwako Tu baba twatumainia
Najua magumu yanaweza kupotea ukinena
Na hata Usipo Nena, ni kwako ni Salama
Ingawa dhoruba kali yavuma,
Ingawa machozi machoni yamejaa
Ingawa nahisi kukata tamaa
Jitokeze jitokeze babaa
Jitokeze, tuone Uso Wako
Jioneshe, Kwa matendo yako
Fanya, Fanya - tuko kwa mikono yako
Fanya, Fanya Mambo yako
Huu ni wakati twakuitaji kiinchi
Baba tufariji tuondoe hii dhiki
Maombi yetu Kwako mungu wetu
Badilisha yanayofanyika nchini kwetu
Mafuriko yanasababisha vifo
Kuna wale wamepoteza makwao
Nao watoto hawawezi kwenda shule
Hasara Madhara Tuokoe kwenye Hidaya
Ingawa dhoruba kali yavuma,
Ingawa machozi machoni yamejaa
Ingawa nahisi kukata tamaa
Jitokeze jitokeze babaa
Jitokeze, tuone Uso Wako
Jioneshe, Kwa matendo yako
Fanya, Fanya - tuko kwa mikono yako
Fanya, Fanya Mambo yako
Hata njia iwe ndefu [ Twakuhitaji baba ]
safari ngumu
Kwa neema yako [ Twakuhitaji baba]
napata nguvu
mungu wa Milimani [ Twakuhitaji baba ]
Uko nami mabondeni
Mungu wa wakati - [ wakati ]
Unajibu Kwa Majira - [ Majira]
Ingawa dhoruba kali yavuma,
Ingawa machozi machoni yamejaa
Ingawa nahisi kukata tamaa
Jitokeze jitokeze babaa
Jitokeze, tuone Uso Wako
Jioneshe, Kwa matendo yako
Fanya, Fanya - tuko kwa mikono yako
Fanya, Fanya Mambo yako
Written by: Dj Kezz
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...