音乐视频

音乐视频

制作

作曲和作词
Izabayo Olivier
Izabayo Olivier
词曲作者

歌词

Unapitia magumu
Umekosa msaada
Bahari na milima
Vimesonga huoni njia Ukumbuke yupo Mungu,
Alitenda tangu zamani
Wa Israeli walipokata tamaa
Yeye akafanya njia
Hufanya njia
paliposhindikana
Ngome imara
Na ngumu huzisambaratisha
Yu tayari kuondoa vikwazo Uweze vuka ukimpokea
Moyoni mwako
Akikubeba mgongoni
hutaweza choka tena
Si kiu wala njaa
Utapata ukiwa nae
Na mashaka yako yote
Yatageuka furaha
Mtwike yote uyaonayo
Ni magumu
Muache afanye njia
Hufanya njia
paliposhindikana
Ngome imara
Na ngumu huzisambaratisha
Yu tayari kuondoa vikwazo Uweze vuka ukimpokea
Moyoni mwako
Hufanya njia
paliposhindikana
Ngome imara
Na ngumu huzisambaratisha
Yu tayari kuondoa vikwazo Uweze vuka ukimpokea
Moyoni mwako
Yu tayari kuondoa vikwazo Uweze vuka ukimpokea
Moyoni mwako
Yu tayari kuondoa vikwazo Uweze vuka
Ukimpokea
Moyoni mwako
Written by: Izabayo Olivier
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...