制作

出演艺人
Buki tz
Buki tz
表演者
作曲和作词
Buki tz
Buki tz
词曲作者
Abubakary Maulid
Abubakary Maulid
词曲作者
制作和工程
MoreBeatz
MoreBeatz
制作人

歌词

Nimefunza na ngariba
Nguzo ya mapenzi tabasamu
Njoo nikupe kauli za Huba
Za pwani mimi mzaramu
Nimeumbiwa mahaba
Kucheat cheat Haramu
Kwenye mali mahamuma
Ila mapenzi imamu
Kama unanipenda
Ninunulie zeze aaah
Nikilala kitandani Aah
Zeze lanibembeleza
Kama unanipenda
Simama tucheze aah
Wendo wangu wahubani aaah
Pendo limenilegeza aaaanha
Jana nililala nikakuota Nikakuwaza
Kwa yako mapenzi mpenzi utaniumiza
Jana nililala nikakuota
Nikakuwaza
Kwa yako mapenzi
Mpenzi utaniumiza
I love you Nyang’anyang’a
I love you Nyang’anyang’a
Bora nitoke machozi
Nikiwa kando yako
Kuliko nienjoy mimi
Mbali nawe
Bora hata ukonde mwili
Nikiwa kando yako
Kuliko ninawiri mimi
Mbali nawe
Uuuuuuh uuh Rajah kiranise pya rogeya
Uuuuuuh uuuh
Mseme musiseme nimezamia
Aaaah aaah
Lalalilalilalah siwezi ongea
Haya kwangu ni mapya
Kanipania
Kama unanipenda aaah ninunulie zeze aanha
Nikilala kitandani
Zeze lanibembeleza
Kama unanipenda
Simama tucheze
We ndo wahubani
Pendo limenilegeza
Jana nililala
Nikakuota nikakuwaza
Kwa yako mapenzi
Mpenzi utaniumiza Uuuuuh
jana nililala
Nikakuota Nikakuwaza
Kwa yako mapenzi
Mpenzi utaniumiza
I love you Nyang’anyang’a
I love you Nyang’anyang’a
Written by: Abubakary Maulid, Buki tz
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...