音乐视频
音乐视频
制作
出演艺人
Rayvanny
表演者
HARMONIZE
表演者
作曲和作词
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
词曲作者
Raymond Shaban Mwakyusa
词曲作者
制作和工程
S2Kizzy
制作人
歌词
[Chorus]
Sensema malunde
Sensema sensema
Sensema malunde
Sensema sensema
[Chorus]
Sensema malunde
Sensema sensema
Sensema malunde
Sensema sensema
[Verse 1]
We DJ
Ongeza sauti kudadeki nikona shemeji yako
Nyuma kama pickup imerigwajeki
Ya ni we DJ eeh
[Verse 2]
Ongeza sauti kudadeki afu tuzimie taa
Tushike viuno vyenye sketi eeh
[Refrain]
Hakunaga mwaisa mshamba
Hakunaga mwaisa mshamba
Kazi kazi macho kwa mikwanja
Kazi kazi macho kwa mikwanja
[Refrain]
Bwana asifiwe (Ameen)
Milele na milele (Ameen)
Shetani akipita (Teke teke teke kule!)
Bwana asifiwe (Ameen)
Milele na milele (Ameen)
Shetani akipita (Teke teke teke kule!)
[Verse 3]
Ukipendwa safi
Ukiachwa mbaya iyoo!
Ukipata noti safi
Ukifilisika mbaya iyoo!
[Verse 4]
Na mikopo safi
Ila kulipa mbaya iyoo!
Eeh kuchiti safi
Ukifumaniwa mbaya iyoo!
[Chorus]
Sensema malunde
Sensema sensema
Sensema malunde
Sensema sensema
[Chorus]
Sensema malunde
Sensema sensema
Sensema malunde
Sensema sensema
Sensema malunde
Sensema sensema
[Verse 5]
Oh, my gosh!
Mbona kamandani hapatoshi
Mitungi changanya mimoshi
Konde! Kadondoka na posh
[Verse 6]
Hamjasema mraka mseme
Namtamsemaa!
Hamjasema mraka mseme
Namtamsemaa!
[Refrain]
Bwana asifiwe (Ameen)
Milele na milele (Ameen)
Ex akipita (Teke teke teke kule!)
Bwana asifiwe (Ameen)
Milele na milele
Mange Kimabi akipita (Teke teke teke kule!)
[Verse 7]
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguy opa chalidu chilaa!
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguy opa chalidu chilaa!
[Verse 8]
Wazee wa kuchati safi
Ila ukiwa umelewa, mbaya iyoo
Kila bebe inapenda gongo! Safii
Ila liki pakazwa mkongo! Mbaya iyoo
[Refrain]
Hakuna mmakonde mshamba
Hakuna mmakonde mshamba
Kazi kazi macho kwa mikwanja
Kazi kazi macho kwa mikwanja
[Refrain]
Hakuna mmachinga mshamba
Hakuna mmachinga mshamba
Kazi kazi macho kwa mikwanja
Kazi kazi macho kwa mikwanja
[Chorus]
Sensema malunde
Sensema sensema
Sensema malunde
Sensema sensema
[Chorus]
Sensema malunde
Sensema sensema
Sensema malunde
Sensema sensema
Written by: Rajabu Ibrahim, Rajabu Ibrahim Abdulkahali, Raymond Shaban Mwakyusa


