制作
出演艺人
Zorah
表演者
DJ Kassu
音乐总监
作曲和作词
Zorah
作词
DJ Kassu
编曲
Rajabu Ally Rajabu
词曲作者
Kassumpa Adrian Machati
词曲作者
制作和工程
DJ Kassu
制作人
歌词
Kassu
Najua ushanivumilia mambo kibao
Lakini haukuchoka ukang'ang'ana na mie
Na sio kiangazi masika na sie tutafika (nivumilie)
Na maisha matuta kama nikianguka (ninyanyue)
Ila simaanishi nimefeli, kwangu mambo bado
Walishanikwamisha matapeli, wakaharibu mambo
Na usije wakakurubuni kwa punje za mtama, ukaniacha mie
Nitakulinda nitakutunza ka' mboni ya jicho langu
Na sitojali mangapi wanasema wanateta
Maana
Tunapendezana
Ooh iwe kwa shida na raha
Tutaongozana
Mi na wewe hata tukilala njaa
Tunapendezana
Mmh wawili kama mapacha
Tutaongozana
Ooh mi na wewe baby
Najua sometimes unawaza hulali
Mawazo maswali nitapata lini (nitapata lini)
Kumekuchosha uswahilini nyumba za kupanga
Ndani joto kali (ndani joto kali)
Na kuna muda naota wamekubeba wenye mali unaishi Masaki
Hakuna ndoto iliyoboa ile siku nakufuma napigwa risasi
Na hakuna siku nitaumia sana
Kama itakupoteza nafsi (itakupoteza nafsi)
Na usije wakakurubuni kwa punje za mtama, ukaniacha mie
Nitakulinda nitakutunza ka' mboni ya jicho langu
Na sitojali mangapi wanasema wanateta
Maana
Tunapendezana
Tunapendezana mi na wewe
Tutaongozana
Wawili tu tutaongozana milele
Tunapendezana
Tunapendezana mi na wewe kama mapacha
Tutaongozana
Tutaongozana (aaaahh aaaaahh)
Tutaongozana
Mi na wewe kama mapacha
Kassu
Written by: DJ Kassu, Kassumpa Adrian Machati, Rajabu Ally Rajabu, Zorah