音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Evelyn Wanjiru
Evelyn Wanjiru
表演者
作曲和作词
Evelyn Wanjiru
Evelyn Wanjiru
词曲作者
Agundabweni Akweyu
Agundabweni Akweyu
词曲作者

歌词

Inuka baba jaza mahali hapa
Na uwepo wako tuna hitaji sasa
Kilio chetu tafadhali sikia
Mwanga wako tuongoze njia
Inuka inuka sisi twasubiri
Jaza jaza mahali hapa na nguvu zako
Ukiwa nasi tutapata amani
Siku zote nasi hatutakuwa na hofu
Sauti yako baba tunaitamani
Hatua kwa hatua tusogeze mbele
Inuka inuka sisi twasubiri
Jaza jaza mahali hapa na nguvu zako
Inuka inuka sisi twasubiri
Jaza jaza mahali hapa na nguvu zako
Na Nguvu
Ukiwa nasi tutapata amani
Siku zote nasi hatutakuwa na hofu
Sauti yako baba tunaitamani
Hatua kwa hatua tusogeze mbele
Inuka inuka sisi twasubiri
Jaza jaza mahali hapa na nguvu zako
Inuka inuka sisi twasubiri
Jaza jaza mahali hapa na nguvu zako
Na Nguvu
Kilio chetu tafadhali sikia
Mwanga wako utuongoze
Written by: Agundabweni Akweyu, Evelyn Wanjiru
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...