制作

出演艺人
Frida Amani
Frida Amani
表演者
Slim Sal
Slim Sal
手风琴
作曲和作词
Frida Amani
Frida Amani
词曲作者
制作和工程
Frank Music
Frank Music
助理制作人
Slim Sal
Slim Sal
助理母带工程师

歌词

Chorus 1..
Kila Niki, kila nikikila nikishika Biki, DUDE
Kila Niki, nikiwapa Mashabiki, DUDE
Kila Nikishika Biki...? DUDE
Nawapa MashaBiki...? DUDE
Biki Biki, BIKI DUDE
Biki Biki, BIKI DUDE
Dude hilooooooooo
Dude
Verse 1
Kwanza na hasira za kichaga mbutaaaa
Wapinzani wakiweka mchanga putaaa
Niko juu ya mlimaa siko juu ya tutaaa
Twende kilioni wapinzani washashukaaaaa
Eeeyoooo ni mawe baada ya maweee tosa magangaaa
Na aliyetaka yote Yah weeeh sio mgangaa
Wanasema me mkali nawapa mashabiki dudeee
Nataka kuwa legendary kama bi kidudeeeeeeeeee
Chorus
Kila Niki, kila nikikila nikishika Biki, DUDE
Kila Niki, nikiwapa Mashabiki, DUDE
Kila Nikishika Biki...? DUDE
Nawapa MashaBiki...? DUDE
Biki Biki, BIKI DUDE
Biki Biki, BIKI DUDE
Hili dude bana weeeeh
Dude hilooooooooo
Dude
Verse 2.
Zimzimaaa waasha tochi juu na ka huwezi simu zimaaaaaa
Nshapandisha mzukaa hapa nilipo si mzimaaaaa
Dude lina zizimaaa mzizimaaaa na nchi nzimaaa
So waambie waache kelele nimesema mtu mzimaaaaaa
Natoa madini si ninatokea mereraani
I run the city sio siri you may runnnnnnnnn
Huu mchezooo nishau murder call me killer killer
 Huko mtani me ni murdeer na ndo maaana killer
Chorus
Kila Niki, kila nikikila nikishika Biki, DUDE
Kila Niki, nikiwapa Mashabiki, DUDE
Kila Nikishika Biki...? DUDE
Nawapa MashaBiki...? DUDE
Biki Biki, BIKI DUDE
Biki Biki, BIKI DUDE
Hili dude bana weeeeh
Dude hilooooooooo
Dude
Written by: Frida Amani
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...