歌词
Yeah!
Yeah, baba
(Mafeeling make it)
Najiona wa ajabu, eh
Nikijitazama, hivi naota, ah, ama nachanganyikiwa?
Joto nalo lashuka degree, waliniliza TBT
Na moyo wangu nishakupa-na
Na wewe ndio nahodha wa meli yangu
Huhitaji CV, oh-oh-oh
Atukinge Ya Ilahi tuwe salama, ah
Atuepushe na mabaya ya wengine
Maana, najiona, nachanganyikiwa, oh, nyikiwa
Ndama, nanona, nanyonyeshwa maziwa, oh, maziwa
Ah! Kama mapenzi ni Jihad, tuko peponi
Kwa jinsi tulivyopambana na hali, yetu rohoni
Kuna vijiba vya nafsi wale waroho, oh, waroho
Wanaosubiri tuachane hata kesho, sisi bado
Sisi bado
Oh-oh-oh
Oh, sisi bado, kuachana sisi bado
Sisi bado, oh, oh, oh, ooh, woah
Sisi bado, oh-oh
Kwani na wewe ndio nahodha wa meli yangu
Huhitaji CV, oh-oh-oh
Atukinge Ya Ilahi tuwe salama, ah
Atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
Maana, najiona, nachanganyikiwa, oh, nyikiwa
Ndama, nanona, nanyonyeshwa maziwa, oh, maziwa, o-ho
(The Mix Killer)
Written by: Ali Kiba, Ally Salehe Kiba, John Lubote


