制作
出演艺人
Brayban
表演者
作曲和作词
Brayban
词曲作者
歌词
Ulipopata bwana na nikapata bibi
Ulinambia nikakwambia
Sasa kwanini wanichukia
Wanionea bure bure
Si ulikuja nyumbani unamsifia
Anakuhudumia unafurahia
Sasa kwanini wanichukia wanionea bure
Mbaya wa mbaya wangu mi ni rafiki yangu…
Written by: Prince brayban

