制作
出演艺人
Prince brayban
表演者
作曲和作词
Prince brayban
词曲作者
歌词
Si ulisema una mpenzi na una mpenda nami nna mpenzi
Sa shida ya nini kati ya mimi na wewe
Ulininyima usingizi kabla ya kulala wako unampost
Sa shida ya nini kati ya mimi na wewe
Tusioneane wivu
Nimeshapata majibu
Mapenzi gani butu yani kila siku kushikiana visu
Ulipomeza p2
Nilijifunza kitu uh uh
Mapenzi gani butu yani kila siku kushikiana visu
Written by: Prince brayban

