制作
出演艺人
ANISET BUTATI
表演者
作曲和作词
ANISET BUTATI
词曲作者
歌词
serebreti serebreti
serebreti serebreti
serebreti huu ni wakati wako
Vers 1. neema imeshuka toka juu mbingu zimeruhusu ni wakati wako ooh ,
samweli ameshatumwa na Mungu ajeee akupake mafuta uwe mkuuu
pigo la kwanza waligoma pigo la pili wakagoma pigo la kumi wakaachia eeeeeh,
mbingu zimeshatia saini wala wewe huwezi kupinga farao tukutane kananii weweeee, atakaekufata kwa ubaya ati akuangamize bahari ya shamu inamngojaa eeeh
majira ya Mungu hayazuilikii mhhh
saa ikifika imefikaa’
Choras
ulilia jana, serebreti unakwenda kufutwa machozii
ulibezwa janaa
serebreti unakwenda kuheshimiwa ati hutafunga ndoa
serebreti unakwenda kuwashangaza
walisema hutafika popote
serebreti Mungu siyo mwanadamu majira yako yamefika
serebreti serebreti
serebreti serebreti
serebreti huu ni wakati wako
serebreti serebreti
serebreti serebreti
serebreti huu ni wakati wako
Vers2
lililo pangwa na mungu maishani mwako lazima litimie eeeh
jina lake litatajwa katikati ya mataifa maana umebalikiwa na Mungu wewe nananaaaa
utamiliki, itatawala, utaishi, hautakufa uyasimulie matendo ya Mungu uuu
Choras
ulilia jana, serebreti unakwenda kufutwa machozii
ulibezwa janaa,
serebreti unakwenda kuheshimiwa ,ati hutafunga ndoa,
serebreti unakwenda kuwashangaza ,
walisema hutafika popote ,
serebreti Mungu siyo mwanadamu majira yako yamefika,
serebreti serebreti
serebreti serebreti
serebreti huu ni wakati wako
agiza na kinywaj tulsa,
serebreti serebreti
serebreti serebreti
serebreti huu ni wakati wako
mwambie Mungu asante weee aaah
Written by: ANISET BUTATI