歌词
[Verse 1]
Sijui namkosea gani
Nyumbani umekuwa vitani
Atalelewani
[Verse 2]
Hivi nimekosa kubwa gani
Sina thamani
Woiwe nateseka Japani
[Verse 3]
Mmh eh, najiona mjinga wa mapenzi
Kwanini sichoki kumvumilia
Anaitendaa
Ila bado namng'ang'ania
[Verse 4]
Najiona dhaifu wa mapenzi
Ila sikosiishugulia
Anajua namtendaa
Ndo maana nafanya naumia
[Verse 5]
Nikipiga simu anakata namsumbua
Nikilalamika anayazoa
Mwepesi kuchukua hatua
Juzi kanipiga nusu ya kuniua
[Verse 6]
Hospital zote wananijua
Imeshashonwa alipopasua
Majirani kutwa wanaamua
Uvimbe ukizidi mwenyewe najijua
[Chorus]
Kama kakuchoka basi crudi nyumbani (Aah utaniua)
Unag'ang'ania mateso ya kazi gani (Aah utaniua)
Haiwezekani kila siku tu kama mpo vitani (Aah utaniua)
Mmh ukilia dada nakosa amani (Aah utaniua)
[Verse 7]
Kwanini uanlia hakusikii
Wabembeleze lakini hakuzimii
Kwanini umeweka picha DP
Lakini bado nakupandisha BP
Nakupongeza kwa mengi dada
[Verse 8]
Uliovumilia
Hata sura yako ya upole ya zamani
Imeanza kufifia
Utoe zigo la mapenzi dada
[Verse 9]
Aah, una roho ya ngamia
Kuishi kwa vipigo moyoni una amani
Kwenye nyumba ya bondia
Nikikutazama dada yangu usiishi masikitiko
[Verse 10]
Judi kakupiga sikio, leo umevimba jichoo
Ukiyaendekeza mapenzi, unapokwenda siko
Bora urudi nyumbani kukiepuka kifoo
[Verse 11]
Najiona mjinga wa mapenzi
Kwanini sichoki kumvumilia
Anaitenda
Ila bado nanna'ang'ania
[Verse 12]
Najiona dhaifu wa mapenzi
Ila sikosiishugulia
Anajua nampendaa
Ndo maana nafanya naumia
[Chorus]
Kama kakuchoka basi crudi nyumbani (Aah utaniua)
Unag'ang'ania mateso ya kazi gani (Aah utaniua)
Haiwezekani kila siku tu kama mpo vitani (Aah utaniua)
Mmh ukilia dada nakosa amani (Aah utaniua)
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa


