音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
声乐
Zuchu
Zuchu
声乐
作曲和作词
Nasibu Abdul Juma Issaack
Nasibu Abdul Juma Issaack
词曲作者
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
词曲作者
制作和工程
Trone
Trone
制作人

歌词

[Intro]
Sisi indo wale wale
Mlio tukataa
Mkasema hatufiki mbalee (Na Simba Dango)
Sasa tumejipata
Ni Zuchu chu chu chu chu
[Verse 1]
Ayayayaa
Ulivyonipiga juju
Ulidhani nitagwaya
Hukujua nina Mungu
[Verse 2]
Ayayayaya
Eti nile chukuchuku
Mambo yangu yako sawa
Nishashiba kukukuku
[Verse 3]
Hee chote ni choyo, na sijalii
Ndio kina, waumiza
Na Mungu wangu (Na Mungu wangu)
Yu ngangari, cheza nami atawamaliza
[Verse 4]
Karibu ntanunua gari nakuja kwenu
Itaneni muambizane mje mjae (Mama Sumaa)
Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenu
Mi ndo yule mlikatazwa, msicheze nae
[Chorus]
Sisi ndo nani (Sisi ndo wale wale)
Sisi ndo wale wale (Mlio tukataa)
Mlio tukataa (Mkasema hatufiki mbalee)
Jamani Mungu si athumani (Sasa tumeipata)
[Chorus]
Adi aah hee (Sisi ndo wale wale)
Sisi ndo wawawawa (Mlio tukataa)
Mlio tukataa (Mkasema hatufiki mbalee)
Jamani Mungu si athumani (Sasa tumejipata)
[Bridge]
Aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti
Tikiti tikiti, tikiti tikiti
Hee, arerererere
Are tokoto tokoto
Tokoto tokoto, tokoto tokoto
Eeh
[Verse 5]
Ooh eti ntakuta (Kwani we utaishi milele)
Nilipozitatuta (Mbona mliniacha mwenyewe)
Hizo chuki na pupa ooh (Ndo zinofanya mchelewe)
Ooh kwa kushinda kutwa (Roho mbaya na viherehere)
[Verse 6]
Hee na mwaka huu Mtaisaga rumba (Eh kwanini)
Oh maana nimemowomba Mungu mpaka nyumba
Na mjiandae kwa sare za ndoa sio uchumba (Eh waganga)
Waganga wenu wambieni wakoleza ndumba
[Verse 7]
Ooh binadamu ni waajabu sana (Jaabu sana)
Wana maneno kukatisha tamaa
Binadamu ni waajabu sana
Wana matendo ya kuumiza sana
[Verse 8]
Walisema eti nna nuksi ya senti
Nyota yangu ya boda ya kwao ya jeti
Nani wa kunidate bega kama kenchi
Kudadeki zenu asa mbona makechi
[Chorus]
Ooh sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale)
Sisi ndo wale wale (Mlio tukataa)
Mlio tukataa (Mkasema hatufiki mbalee)
Jamani Mungu si athumani (Sasa tumeipata)
[Chorus]
Adi aah hee (Sisi ndo wale wale)
Sisi ndo wawawawa (Mlio tukataa)
Mlio tukataa (Mkasema hatufiki mbalee)
Jamani Mungu si athumani (Sasa tumejipata)
[Outro]
Aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti
Tikiti tikiti, tikiti tikiti
Hee, arerererere
Are tokoto tokoto
Tokoto tokoto, tokoto tokoto
Eeeh
Written by: Nasibu Abdul Juma Issaack, Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...