音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Kusah
Kusah
声乐
作曲和作词
SALMIN ISMAIL HOZA
SALMIN ISMAIL HOZA
词曲作者
制作和工程
Cuckie Daddy
Cuckie Daddy
制作人

歌词

[Verse 1]
Walahi mimi, sitaki kitu sitaki chochote
Nataka mapenzi
Kama sio hivyo mtanizika
Siumwi kitu siumwi chochote me
Naumwa mapenzi
Jama mwenzenu nimeridhika
[Verse 2]
Na bado, akinipa ananipa
Na kuna siku tunapaa
Funua funika aah
Na tunafika kwenye paa
[PreChorus]
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
Mmh will you marry me?
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
Will you marry me?
[Chorus]
Mwenzenu niwaambiee
Sijawahi mimi kupendwa hivi
Mwenzenu niwaambiee
Napendwa mimi kushinda nyinyi
[Verse 3]
Oya wee
Hili penzi liko huku
Napewa vitamu huku
Kuna udambwi, udambwi huku
Mbwembwe nyingi, mambo kibao
Na tena mwenzenu huku
Nimejawa na shauku
Natamani yavuke huku tufie kwao
[Verse 4]
Me na yeye kitamboo
Tushamshinda shetani
Na mambo yakwetu ya ndani
Hayatoki nje ni ya ndani kwa ndani
[Verse 5]
Na ananipa mamboo
Sio chini kitandani
Tukigombana kwa ndani
Hayatoki nje yanaishia kitandani
[PreChorus]
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
Mmh will you marry me?
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
Will you marry me?
[Chorus]
Mwenzenu niwaambiee
Sijawahi mimi kupendwa hivi
Mwenzenu niwaambiee
Napendwa mimi kushinda nyinyi
Written by: SALMIN ISMAIL HOZA
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...