制作
出演艺人
Phany Love
声乐
作曲和作词
Khalfan Hamis
词曲作者
制作和工程
SHOLA WILLIAMS
制作人
歌词
[Verse 1]
Nimelala nimeamka
Nadhani ndoto kumbe upendo na shamiri
Aah toka amekuja kwenye maisha yangu
Kaichota akili
[Verse 2]
Ikitokea amekufa
Mi duniani kuishi sitostahili
Dah maana utamu anaonipa
Asali inasubili
[PreChorus]
Ooh baby asante
Kwa kunipa Amani
Uko nyuma mi nishaumizwa sana
Mapenzi sikutamani
[PreChorus]
Ooh baby asante
Kwa kuniweka uraiani
Nilifungwa jela ya mapenzi
We ukanipa dhamani ohh baby
[Chorus]
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Simuachi my baby
[Verse 3]
Ah, oh baby stop
Kupenda pengine mimi siwezi
Movo nao nahisi nazi ndio ishapata mkwezi
Limetamani kuhadithia jinsi gani najiskia
Hili penzi malkia furaha ananipatia
[PreChorus]
Ooh baby asante
Kwa kunipa Amani
Uko nyuma mi nishaumizwa sana
Mapenzi sikutamani
[PreChorus]
Ooh baby asante
Kwa kuniweka uraiani
Nilifungwa jela ya mapenzi
We ukanipa thamani ooh baby
[Chorus]
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Simuachi my baby
Written by: Khalfan Hamis

