制作
出演艺人
ZENO TZ
12 弦原声吉他
作曲和作词
David Zeno
词曲作者
歌词
CHORUS
Namtaka my wangu
Namtaka my wangu
Hapa hayupo Hapa Hayupo
Kaenda wapi kaenda wapi
Kaenda kwabebe
Kaenda kwa bebe yakee
VERSE.1
Naona Mitishamba imenikataa
Nikalewe sasa namapenzi nasusaa
Susaa suu
Ujue ningeshakuacha ila naogopa
Kunavichaka tabata watakuteka
Usiwape jembe chaka nakutaka
Kukuacha chitaki nakufata
BRIDGE
Ashi siwakunywa hivi Why me
Wakulewa hivi Why me
Misiwakunywa hivi Eeeeh
Misiwakunywa hivi Nonono
Wakulewa hivi Nonono
Misiwakunywa hivi Eeeh
CHORUS
Namtaka my wangu
Namtaka my wangu
Hapa hayupo Hapa Hayupo
Kaenda wapi kaenda wapi
Kaenda kwabebe
Kaenda kwa bebe yakee
Bebe yake nani kaenda na nani
Usituulize utajua mwemyewe
Misiwakunywa hivi wakulewa hivi
Misiwakunywa hivi Eeh
VERSE 2
Basi aseme mapema
Ananipenda au ameniacha
Vilesina taabu nijue nani atafuata
Kikubwa nahema hayo mengine yatafuata
Jinalake Tabu Furaha wapi nitaipata Eeh
Umli huu kujibembeleza sitaki
Aah kujipendekeza sitaki
Nishaenyeka sana
Huko nyuma nilikotoka
Umli huu kujibembeleza sitaki
Aah kujipendekeza sitaki
Nishaenyeka sana
Huko nyuma nilikotoka
Oyaa zitumwe Location
Sahivi niko single (Single )
Nyie nikopesheni
Ntaleta iki hit nyimbo
BRIDGE
Ashi siwakunywa hivi Why me
Wakulewa hivi Why me
Misiwakunywa hivi Eeeeh
Misiwakunywa hivi Nonono
Wakulewa hivi Nonono
Misiwakunywa hivi Eeeh
CHORUS
Namtaka my wangu
Namtaka my wangu
Hapa hayupo Hapa Hayupo
Kaenda wapi kaenda wapi
Kaenda kwabebe
Kaenda kwa bebe yakee
Bebe yake nani kaenda na nani
Usituulize utajua mwenyewe
Oyaa zitumwe Location
Sahivi niko single
Nyie nikopesheni
Ntaleta iki hit nyimbo
Bebe yake nani Kaenda na nanii
Written by: David Zeno