制作

出演艺人
Neu Alka
Neu Alka
表演者
Dennis Muhoro
Dennis Muhoro
声乐
作曲和作词
Dennis Muhoro
Dennis Muhoro
词曲作者

歌词

Wameshinda wakinisema kutoka juzi sijapumua
Mara wananichocha ati sauti inawazingua
Vile mi huchapa content hakuna mtu haezi simbua
Na mirista na itepa sema sema kuwasumbua
Hebu kwanza piga pause,sema applause
Tutoke chini tuende juu mikono cross
Mi hupiga stingo smooth nani hana clue
Ni dance fity na inawezwa na mayouts
Mi Kwa dance huwa siforce ka siwezi naeza waachia
Ju ya homa nimekuwa worse kwa compe yangu aki mnablear
Ni ukweli sina talent ya kudance but nitaforce
Na dance tu ki odi kusema ukweli hiyo ni false
Nadadadance fity unaeza dhani imekuwa easy
Hii dance ni ya machizi so msiseme ati ni kiki
Kwa mziki mi ni gwiji hadi kwa dance hamnifikii nataka nisake dancer kwanza mpoa anaitwa pricky
Written by: Dennis Muhoro
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...