制作
出演艺人
Mimi Mars
声乐
作曲和作词
Marianne Mdee
词曲作者
制作和工程
Laizer Classic
母带工程师
S2Kizzy
制作人
歌词
Ua la moyo limeshachelewa
Furaha yangu wewe na unajua
Ninapokupenda wee
Kama roho yangu
Popote nitapokwenda
Uwe pembeni yangu
Nitapunguza (Wenge-wenge), mh (Wenge-wenge)
Aah (Wenge-wenge), mh (Wenge)
Nitapunguza (Wenge-wenge), mh (Wenge-wenge)
Aah (Wenge-wenge), mh (Wenge), nitapunguza
Najua we hupendi wakituona, twapatapo raha
Nasi twaendana na wanaona, tunapendana sana
Ninapokupenda wee, kama roho yangu
Popote nitapokwenda, uwe pembeni yangu
Nitapunguza (Wenge-wenge), mh (Wenge-wenge)
Aah (Wenge-wenge), mh (Wenge)
Nitapunguza (Wenge-wenge), mh (Wenge-wenge)
Aah (Wenge-wenge), mh (Wenge), nitapunguza
Kama nyota na mwezi
Tunaridhi penzi letu
Written by: Marianne Mdee