音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Joefes
Joefes
表演者
Iphoolish
Iphoolish
表演者
Fidel Rayd
Fidel Rayd
表演者
Joseph Nyamweya
Joseph Nyamweya
声乐
FIDEL OSANO
FIDEL OSANO
声乐
Mike Makori
Mike Makori
声乐
作曲和作词
Joseph Nyamweya
Joseph Nyamweya
词曲作者
FIDEL OSANO
FIDEL OSANO
词曲作者
Mike Makori
Mike Makori
词曲作者
制作和工程
Eyoh Clamer
Eyoh Clamer
制作人
Dj Moon
Dj Moon
制作人

歌词

Sikujua ni dem yako iza
Aliinsist pizza
Cashless uber nililipa visa
Kwenda kwako si kwangu juu sidai
I'm a chill guy mi utanipata nko mtaa
Nimetulia nikingoja baby girl
Anipigie juu anapenda venye nachocha
Mi ni rapper, rasterman mi ni gangster
Yo,
Im a chill guy, lakini shida ninapenda wengi
Napenda ngwai na same energy napenda ladies
Geri inengi nje ya ofisi niko mechi
Ever ready uso yangu kiti uneza keti
Naskia, naskia uko home alone nafika Chap Chap
Nikilipia bolt tunascrew na wewe, Chap Chap
Tuna anzanga na ngwai alafu ngware ni ma Tap Tap
Narr performance, Nare haga zina Clap Clap
I'm a chill guy mi utanipata nko mtaa
Nimetulia nikingoja baby girl
Anipigie juu anapenda venye nachocha
Mi ni rapper, rasterman mi ni gangster
Gangster vitu ndogo hunifanya emotional
Gangster mdhama hunicheki kwa TV national
Ganster na bado nina fans international
Gangster ukihate mi huchukulia personal
Kuja mdogo ka mneti inabuffer
Choche ukipita lenga msee ako na puffer
Jale kifaa mi humpatia kifafa
Pale mtaa akikuja juu anasuffer
I'm a chill guy mi utanipata nko mtaa
Nimetulia nikingoja baby girl
Anipigie juu anapenda venye nachocha
Mi ni rapper, rasterman mi ni gangster
Nilim text niaje babes
Na nika mtumia izo ma throwback za tena
Like even though usha pata mtu usini lenge
Kuna staff nadai nikuambie
Akadai sawa si useme...
Of all my exes
Ni we ulikua my favorite
And I hope current babes ana behave ryt
Mwambie ndam replace aki cheza, akue terrified
Na nika ongeza apo ma emoji zaku cheka just in case ukue ofended
I'm a chill guy mi utanipata nko mtaa
Nimetulia nikingoja baby girl
Anipigie juu anapenda venye nachocha
Mi ni rapper, rasterman mi ni gangster
Written by: FIDEL OSANO, Joseph Nyamweya, Mike Makori
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...