制作

出演艺人
Kestin Mukami Mbogo
Kestin Mukami Mbogo
伴唱
作曲和作词
Kestin Mukami Mbogo
Kestin Mukami Mbogo
词曲作者
制作和工程
Kestin Mukami Mbogo
Kestin Mukami Mbogo
监制

歌词

Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Nashukuru Kwa wema Wako
Nashukuru kwa fadhili Zako
Rehema Zako zimenifuata nyuma
Kama sio Wewe, ningekuwa wapi
Baba Asante
Nashukuru Kwa wema Wako
Nashukuru kwa fadhili Zako
Rehema Zako zimenifuata nyuma
Kama sio Wewe, ningekuwa wapi
Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Nashukuru Kwa wema Wako
Nashukuru kwa fadhili Zako
Rehema Zako zimeniandama nyuma
Kama sio Wewe, ningekuwa wapi
Baba Asante
Nashukuru Kwa Wema Wako
Nashukuru kwa fadhili Zako
Rehema Zako zimenifuata nyuma
Kama sio Wewe ningekuwa wapi
Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Baba Asante, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Umenitendea, Baba Asante
Written by: Kestin Mukami Mbogo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...