制作
出演艺人
Neema Gospel Choir
表演者
Quillian kilago
哈蒙德风琴
作曲和作词
Neema Gospel Choir
词曲作者
歌词
Ulisema hautatuacha kamwe
Ulisema hautatuacha kamwe
Hadi mwisho wa dahari
hautatuacha kamwe
Ulisema hautatutupa nje
Ulisema hautatutupa nje
Kila ajae kwako eeh hautamtupa nje
Baba tunaomba utubariki Leo
Tumeng\'ang\'ana nawe utubariki Leo
Hatuna mashaka na wewe
Mungu unafanya mambo yote
Kwa Utukufu wako,
Kwa Utukufu wako
Twatazamia baraka za rohoni na mwilini.
Hazitakawia twazingoja,
Baraka zi malangoni
Malangoni
Baraka zi Malangoni.
Hatuna mashaka na wewe
Mungu unafanya mambo yote
Kwa Utukufu wako.
Written by: Neema Gospel Choir

