音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Marioo
Marioo
表演者
作曲和作词
Marioo
Marioo
词曲作者
Salmin Kasimu Maengo
Salmin Kasimu Maengo
作曲
制作和工程
S2Kizzy
S2Kizzy
制作人

歌词

[Verse 1]
Baby nichumu hadharani, mwah
Mi nataka waumie
Ah, baby nikissi hadharani, mwah
Mi nataka waumie
[PreChorus]
Oh salale, ulikuwa wapi kipindi nalizwa
Ulikuwa wapi kipindi naumizwa
Ulikuwa wapi kipindi nanyanyaswa
Mimi vile nakupenda
[Chorus]
Akitoka mama, anafwata mpenzi
Ama ye ndio wewe you are my happiness
Wakitoka wazazi na anafwata mpenzi
Ama ye ndio wewe you are my happiness
[Chorus]
Mi kwako tefe (Tetete, tetete, tetete)
Ukitaka nibebe mgongoni (Tetete, tetete, tetete)
Nifunze kutembea (Tetete, tetete, tetete)
Ah tete tete
[Verse 2]
Ukichanganya asali, fanta, banana
Ndo ulivyo mtamu switi switi
Sexy, sexy body ya fanta
Lips inataste we pipi pipi
[Refrain]
Oh baby nakupenda, nakukunda
Sogea nikupambe, sogea nikubusu
Kutana, moniferei
Jeate, team baby we
[PreChorus]
Akitoka mama, anafwata mpenzi
Ama ye ndio wewe you are my happiness
Wakitoka wazazi na anafwata mpenzi
Ama ye ndio wewe you are my happiness
[Chorus]
Mimi kwako tefe (Tetete, tetete, tetete)
Nidekeze kama mtoto (Tetete, tetete, tetete)
Ukitaka nibebe mgongoni (Tetete, tetete, tetete)
Nifunze kutembea (Tetete, tetete, tetete)
Ah tete tete
Written by: Marioo, Salmin Kasimu Maengo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...