制作
出演艺人
Platform
表演者
作曲和作词
Platform
词曲作者
Kapipo Beats
作曲
制作和工程
Kapipo Beats
制作人
Kapipo
制作人
歌词
[Verse 1]
Mara nina gubu
Mara sipendeki kwake natubu
Ety nina gubu
Mara sipendeki kwake natubu
[Verse 2]
Haya mapenzi ukiwa nazo ni shida
Ukiwa hauna kabisa msiba
Hata ukisusa wenzako wanakula
Yani mapenzi hayana cha mkubwa
[Verse 3]
Haya mapenzi ukiwa nazo ni shida
Ukiwa hauna kabisa msiba
Hata ukisusa wenzako wanakula
Yani mapenzi hayana cha mkubwa
[Refrain]
Wololo wololo lolooh
Wololo Wololo lolooh
Wololo wololo lolooh
Wololo Wololo lolooh
[Refrain]
Wolololo lolooh
Wolololo lolooh
Wolololo lolooh
Wolololo lolooh
[Chorus]
Bora, bora bora bora niitwe malaya
Kujibana bana imeshindikana
Bora bora, bora bora bora niitwe malaya
Kujibana bana imeshindikana
We bora aiyah, bora bora bora niitwe malaya
Kujibana bana imeshindikana
[Verse 4]
Eeh yashamtesa bibi kizee hadi na kikongwe
Bibi kizee hadi na kikongwe
Kwani wewe nani eeh iyaah
Kwani wewe nani eeh iyaah
[Verse 5]
Haya mapenzi ukiwa nazo ni shida
Ukiwa hauna kabisa msiba
Hata ukisusa wenzako wanakula
Yani mapenzi hayana cha mkubwa
[Refrain]
Wololo wololo lolooh
Wololo Wololo lolooh
Wololo wololo lolooh
Wololo Wololo lolooh
[Refrain]
Wolololo lolooh
Wolololo lolooh
Wolololo lolooh
Wolololo lolooh
[Chorus]
Bora, bora bora bora niitwe malaya
Kujibana bana imeshindikana
Bora bora, bora bora bora niitwe malaya
Kujibana bana imeshindikana
We bora aiyah, bora bora bora niitwe malaya
Kujibana bana imeshindikana
Written by: Kapipo Beats, Platform