album cover
Memory
491
Alternative
Memory 由 OgaObinna the Oga@DTop 于 2025年7月29日 发行,作为专辑“Memory - Single”的一部分。
album cover
发行日期2025年7月29日
唱片公司OgaObinna the Oga@DTop
语言English
旋律性
不插电
Valence
舞蹈性
能量
BPM94

歌词

Memory.
Aaah aaahhh
Oga@DTop again..
Aahh..
Chorus.
Katoto karembo.
Kamenikwama kwenye memory.
Katoto kafine.
Kamenikwama kwenye memory.
Siwezi kulala - kamenikwama kwenye memory
Hata kazi siwezi fanya - Kamenikwama kwenye memory..
Katoto karembo.
Kamenikwama kwenye memory.
Katoto kafine.
Kamenikwama kwenye memory.
Ooh memory...aah memory x 2
Nilikaona town.
Kakipita pita.
Nilimuona town. Kama anapita.
Nilikuwa kwa gari.
Nimekwama kwa jam.
Nikajipa shughuli
Hapo downtown.
Yeye...ninamwaza akilini amenijaza.
Nimeshindwa sahau.
Urembo wake.
Urembo wake. Wanibaba babaisha.
Smile yake. Lani hanga hangaisha.
Nimetupa bahati.
Kwa kujifanya boss.
Heri ningemfuata,sasa imenicost.
Chorus.
Katoto karembo.
Kamenikwama kwenye memory.
Katoto kafine.
Kamenikwama kwenye memory.
Siwezi kulala - kamenikwama kwenye memory
Hata kazi siwezi fanya - Kamenikwama kwenye memory..
Katoto karembo.
Kamenikwama kwenye memory.
Katoto kafine.
Kamenikwama kwenye memory.
Ooh memory...aah memory x 2
Ma ma mama..
Mapenzi inawenyewe. X 2
Maapenzi haitambui hata boss.
Mapenzi haitambui hata mdosi
Maana mimi nasuffer.
Najiuliza.
Nikitu gani,mimi nimekosa.
Kama gari - ninazo zakutosha.
Kama pesa- ninazo za kutosha.
Kama majumba - ninazo zakutosha
Kama manguo - napiga luku Bora.
Ila ila...usingizi sina
moyo unasononeka.
Amenikwama kwenye memory
Namtafuta, nimpate wapi.
Natembea town, kama chizi
Written by: Mittsies The Squirrel
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...