album cover
Afro
album cover
Afro 由 Tamasha Corporation Limited 于 2010年10月4日 发行,作为专辑“Afro”的一部分。
专辑Afro
Released2010年10月4日
唱片公司Tamasha Corporation Limited
BPM126
旋律性
不插电
Valence
舞蹈性
能量

音乐视频

音乐视频

歌词

[Verse 1]
Afro oh, Afro mama oh oh, mtoto wa Sagana eeh mama
Salamu zangu nakutumia popote ulipo uzipokee
[Chorus]
Nisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh, popote walipo, Afro
Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni, nina wasiwasi, mmh
Nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho, uliniahidi, Afro
Tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh, mbona sikuoni, mama
[Verse 2]
Afro mama, eeh yao, mtoto wa Sagana, eeh eeh
Kaa ukumbuke, eeh, penzi hugeka, eeh
Leo kwangu kesho kwako, mama eeh, utanikumbuka, eeh

[Verse 3]

Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni, nina wasiwasi, iih
Nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho, uliniahidi, Afro
Tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh, mbona sikuoni, mama
[Chorus]
Afro mama, eeh yao, mtoto wa Sagana, eeh eeh
Kaa ukumbuke, eeh, penzi hugeka, eeh
[Verse 4]
Afro wa Kirinyaga, Sagana eeh, eeh, usiniweke pembeni mama, aah
Ingawa wako wengi wazuri, mami, lakini nimekuchagua wewe, eeh
Tabia zako sawa na sura yako, nimeridhika kuwa na wewe, eeh
[Verse 5]
Sagana unipeleke mama, ooh, nikawaone wazazi wako mama
Na TZ pia tufike mami, ukawaone baba na mama, eeh
Mengine mengi sisemi mama, aah, uamuzi nakuwachia wewe, eeh
Mwisho nakuombea salama, Afro, mpaka siku tutapoonana, Maggy
[Verse 6]

[Verse 7]

[Verse 8]
Afro wa Kirinyaga, Sagana eeh, eeh, usiniweke pembeni mama, aah
Ingawa wako wengi wazuri, mami, lakini nimekuchagua wewe, eeh
Tabia zako sawa na sura yako
Written by: Les Wanyika, Msondo Ngoma Music Band
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...