歌词
[Chorus]
Hapana jina lingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
Hapana jina lingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
Hapana jina lingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
[Verse 1]
Kwa maaana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu
Akamtoa mwana wa pekee ili tuokoke
Yesu ndiye njia pekee yeye ndiye ukweli na uzima
Mtu haji kwake Baba ila kwake Yesu kweli
[Chorus]
Hapana jina lingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
Hapana jina jingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
Hapana jina jingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
[Verse 2]
Jina Yesu lina nguvu uzivunja nguvu zote
Humtia mnyonge nguvu, urudisha wapotevu
Kila goti litapigwa, kila ulimi utakiri
Sifa kwake Mkombozi, sifa kwake mwanakondoo
[Chorus]
Hapana jina jingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
Hapana jina jingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
Hapana jina jingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
Hapana jina jingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
[Chorus]
Hapana jina jingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
Hapana jina jingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke
Hapana jina jingine lililopewa watu
Chini ya Bingu ili waokoke


