音乐视频

音乐视频

制作

歌词

[Chorus]
Yeesu, Yeesu
Wewe wasisimua moyo wangu
Yeesu, Yeesu
Wewe wayatuliza maisha yangu
Yeesu, Yeesu
Wewe wasisimua moyo wangu
[Verse 1]
(Nikikumbuka nilivyofungwa na dhambi) Wasisimua moyo wangu
(Na nikiwaza nyororo ulizokata) Wayatuliza maisha yangu
(Ulizivunja nguvu za giza) Wasisimua moyo wangu
(Ulinijaza na roho wako eh Bwana) Wayatuliza maisha yangu
[Chorus]
Yeesu, Yeesu
Wewe wasisimua moyo wangu
Yeesu, Yeesu
Wewe wayatuliza maisha yangu
[Verse 2]
(Umeyaponya magonjwa note eh Bwana) Wasisimua moyo waangu
(Umenipa vitu vyema eh Bwana) Wayatuliza maisha yangu
(Umenipa makao na marariki) Wasisimua moyo vangu
(Umeniahidi makao yako milele) Wayatuliza maisha yangu
[Chorus]
Yeesu, Yeesu
Wewe wasisimua moyo wangu
Yeesu, Yeesu
Wewe wayatuliza maisha yangu
[Chorus]
Yeesu, Yeesu
Wewe wasisimua moyo wangu
Yeesu, Yeesu
Wewe wayatuliza maisha yangu
[Outro]
Wewe wasisimua moyo wangu
Wewe wasisimua moyo wangu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...