歌词

Waraka wa Amani Uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule Waraka wa Amani Uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule Waraka ulioandikwa wayahudi wauwawe Waraka uliotangazwa Moldekai anyongwe Waraka ulioandikwa wayahudi wauwawe Waraka uliotangazwa Moldekai anyongwe Esther akiwa kwenye nyumba ya kifalme, Esther akiwa ni Malkia Ndipo Moldekai alirarua mavazi yake, alivaa mavazi ya magunia, ilionyesha ya kwamba anaomboleza Akasimama mbele ya Malkia, akamwambia Esther mama naomba sikia Ujue umekuja Esther kwa wakati huu, hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa Ujue umechaguliwa kuwa Malkia kwa wakati huu, hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa Esther kwa maombolezo, huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi Esther aha, alikwenda kwenye malango ya Kifalme kinyume cha taratibu Esther aha, kwa kutangaziwa alikwenda ohh kinyume cha taratibu Akamwambia eeeh Mfalme ukiona vyema aha waweza kuniruhusu niingie malangoni pako Akamwambia eeeh Mfalme hee ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako Akamwambia eeeh Mfalme hee ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako Esther kwa maombolezo huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi Mfalme akasimama akamtazama Malkia, akachukua fimbo yake akamnyooshea Akasema aah, ni nini haja ya moyo wako hata nusu ya ufalme wangu nitakupatia Akasema aah, ni nini haja ya moyo wako hata nusu ya ufalme wangu nitakupatia Esther aah kwa maombi ya wayahudi, aliweza aah kunyamaza kimya Esther aah kwa maombi ya wayahudi, aliweza aah kunyamaza kimya Akamwambia eeh Mfalme ukiona vema aah waweza kuniruhusu niandae karamu yangu Akamwambia eeh Mfalme ukiona vema waweza kuniruhusu niandae mje na Amani Akamwambia eeh Mfalme ukiona vema waweza kuniruhusu niandae karamu mje na Amani Esther kwa maombolezo huku wayahudi wakiendelea na maombi Oooh Amani kwa kusikia sauti ya Malkia akapata sifa Ooh Amani kwa kusikia ombi la Malkia akajua amependelewa Akamwabia eeh Mfalme ukiona vyema sasa nimeandaa meza karibu mgeni Akamwabia eeh Mfalme ukiona vyema sasa nimeandaa meza mje na Amani Mfalme akasimama akamtazama Malkia akauliza swali tena naomba sema tena Mfalme akasimama akamtazama Malkia akamuuliza Esther tena naomba sema lolote Esther kwa machozi akamwambia eeh baba yangu naomba sikia Mimi na wayahudi wote tumetangaziwa kuuwawa, na huyu adui wangu mtesi naye ni Amani Esther kwa machozi akamwambia eeh bwana wangu naomba sikia Mimi na wayahudi wote tumetangaziwa kuuwawa, na huyu adui wangu mtesi naye ni Amani Mfalme akasimama akamtazama Malkia Kwa ghadhabu akageuka akamtazama Amani Akasema aah mtoeni nje Amani tena mpigeni sanda nyeusi akafie huko Akasema aah mtoeni nje Amani tena mpigeni sanda nyeusi akafie huko Na mimi ninakuja kwako, kwako baba aah Nikilibeba taifa langu pamoja na watu wako Na mimi ninakuja kwako, kwako baba aah Nikilibeba taifa langu pamoja na watu wako Tazama adui yetu shetani anatupiga vita Tazama huduma tulizo nazo zinavyogigwa vita Lengo lake haribu vilivyo ndani yetu, lengo lake haribu ule mwili wa Yesu Eeh Mungu wangu Eeh Mungu wangu Eeh Mungu wangu, eeeh Jehova Eeh Elshaddai Eeh Elshaddai Eeh Elshaddai ooh Jireh Eeh jehova shammah Eeh Jehova Eeh Jehova Jireh Eeh Messiah Naomba mtazame Amani wetu ni wapi alipo ooh Naomba mtazame Amani wetu ni wapi alipo ooh Anayechafua kanisa lako ni wapi alipo Anayechafua kanisa lako ni wapi alipo Eeh jehova shammah Eeh Jehova Eeh Jehova Jireh Eeh Messiah Eeh jehova shammah Eeh Jehova Eeh Jehova Jireh Eeh Messiah Wapo ma-Amani wengi sana baba katika makanisa Wapo ma-Amani wengi sana katika makanisa Wao ni kuharibu huduma zisiendelee mbele Wao ni kuchafua wachungaji wasiendele mbele Mtazame Amani wetu anayechafua huduma zetu Mtazame Amani wetu anayechafua Mtazame Amani wa sasa anayechafua habari zetu Mtazame Amani wa sasa anayechafua Eeh Jehova shammah Eeh Jehova Eeh Jehova Jireh Eeh Messiah Eeh eeh eeh jesus eeh jesus elshaddai eeh Messiah Eeh Mungu wangu eeh Mungu wangu eeh Mungu eeh Mungu wangu eeh Messiah
Writer(s): Bahati Bukuku Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out