音樂影片

Hao Hao
觀看 {artistName} 的 {trackName} 音樂影片

收錄於

積分

出演艺人
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
表演者
作曲和作词
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
词曲作者

歌詞

nimbalii nimetoka tena niajabu kuwa hai, maana ningeshakufa aga. nimengi nimeona, tena yakuvunja moyo labda ningesha mwacha mungu. oh kama ni misongo magojwa maa nimepitia, nikazoea maumivu yakudharauliwa umaskini. kila siku tunajipa moyo (mmh) Ipo siku yangu tu, ipo siku sikuu ipo siku yangu tu, nami niba nibaniba nibalikiwe×2 nami nibalikiwe(nibalikiwe) ah nibalikiwe (nibalikiwe) oh ninalikiwe (ninalikiwee, ni balikiwe, nibalikiwee nibaniba nibalikiwe) instrumenal mmh ayaya×3 ingawa kwasasa wananisema vibaya, nami sishangai najua niyawanadamu hayoo ingawa sipati na nikwa muda murefu siachi kuomba mungu si kiziwi ah binadamu wema ukiwanacho, kwasasa waniepuka sina rafiki wala tii. oh kama ni misongo ya magonjwa mawazo maa nimepitiaa, nikazoea, maumivu ya kudharauliwa umasikini kila sikuu ninajipa moyoo mmmh miaka imepita onaombaga mtoto hupati, vuta subira maana yeye achelewi. mpo kwa ndoa hila nyumbani amani hakuna, msimwache mungu michepuko sio jibu umeugua tumaini lakupona hakuna, siku yako imekaribia heyy n Najua, ayaya ×2 i Ipooo Najua, ayaya Ipooo Misukosuko ya ndoa, mtoto anakusumbua, giza likiingia unawaza wapi utalala (iba iba ibalikiwe) masimango mashemeji ati huzai mtoto masimango mama wa kambo, Umemchosha nyumbani usiwaze husiumie, Najua yote yatapita Nawe ubalikiwe (ubalikiwee) nawe ubalikiwee×2
Writer(s): Goodluck Gozbert Wiki Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out