音樂影片

Rich Mavoko - Wanakutamani l Lyrics
觀看 {artistName} 的 {trackName} 音樂影片

歌詞

Wasafii S2kizzy Naomba utunze heshima, ulilinde na jina Nimekukabidhi mtima, aliyenipa Karima Yote nimekubali mimi Mi niko tayari niamini Nikiwa chizi ni wewe (Aaah, eeh) We ndo sababu Sitaki moyo wangu uchezewe (Aaah, eeh) Ntapata tabu Nachotaka kuzaa na wewe (Aaah, eeeh) Pendo lako la dhahabu Nije kuzeeka na wewe (Aaah eeeh) Bibi na babu Wanakutamani hao Wanakutamani hao Wanakutamani hao Mwenzako nia ninayo Wanakutamani hao (mi nawajua baby) Wanakutamani hao (watakuchezea mama) Wanakutamani hao (wakishakuvua baby) Mwenzako nia ninayo (watakuacha solemba) Mi na wewe waarabu kwa wapemba Tunajuana baby kwa vilemba Miaka rudi tena miaka nenda Hawaning'oi hata kwa kwa defender Yako thamani Mwengine sijawahi kuona mama Usiniweke mashakani Wakakudanganya kwa punje za mtama Nikiwa chizi ni wewe (Aaah eeeh) We ndo sababu Sitaki moyo wangu uchezewe (Aaah eeeh) Ntapata tabu Nachotaka kuzaa na wewe (Aaah eeeh) Pendo lako la dhahabu Nije kuzeeka na wewe (Aaah eeeh) Bibi na babu Wanakutamani hao (oooh) Wanakutamani hao (wanakutamani mama) Wanakutamani hao (wanakutamani...) Mwenzako nia ninayo (achana naooo) Wanakutamani hao (wanakutamani...) Wanakutamani hao (baby baby...) Wanakutamani hao (wanakutamani...) Mwenzako nia ninayo Moyo wangu mi nakupa baby usasambue usasambue... Mi nakupa usasambue usasambue... Fanya unavyotaka usasambue usasambue Ubakishe mifupa usasambue usasambue... Uniburuze kama guta usasambue usasambue... Usasambue usasambue...
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Richard Martin Lusinga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out