音樂影片

積分

出演艺人
Mercy Masika
Mercy Masika
表演者
作曲和作词
Wolf Wörz
Wolf Wörz
作曲
Lornah Woerz
Lornah Woerz
作词

歌詞

Ohh wooih mmh Wako mwana ukamtuma, duniani, Kisa na maana, nipate uzima, jamani Wako mwana ukamtuma, duniani, Kisa na maana, nipate uzima, jamani Ishaara kwamba unanipenda zaidi, Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi, Ishaara kwamba unanipenda zaidi, Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi, Na siwezi jizuia, kusema wako wema, Sio kama najigamba, umenitenda mema, Na siwezi jizuia, kusema wako wema, Sio kama najigamba, umenitenda mema, Umekuwa mwema kwangu, Umenitoa gizani, nilipokuwa nimeshikwa mateka, Ukanipa tumaini, kwako nikajificha, Sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umetenda, Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia, Ilikugharimu, msalabani unifie, Hivo inanibidi, sifa nikuimbie, Wema wako niseme, ili na wengine wakujue, Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne, Na siwezi jizuia, kusema wako wema, Sio kama najigamba, umenitenda mema, Na siwezi jizuia, kusema wako wema, Sio kama najigamba, umenitenda mema, Umekuwa mwema kwangu, Acha niringe, umekuwa mwema kwangu, Oh Yahweh, ooh kwangu, Oh umenitendea, kwangu, Acha niimbe siwezi jizuia, kusema wako wema, Sio kama najigamba, umenitenda mema, Na siwezi jizuia, kusema wako wema, Sio kama najigamba, umenitenda mema, Na siwezi jizuia, kusema wako wema, Sio kama najigamba, umenitenda mema, Na siwezi jizuia, kusema wako wema, Sio kama najigamba, umenitenda mema, Siwezi jizuia
Writer(s): Timothy Boikwa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out