Nyokaa 由 AfricanMusicNow 於 2019年2月6日發行,收錄於專輯《Nyokaa - Single》中
BPM
旋律
歌曲有多麼清晰易記且符合明確音樂模式的旋律。通常,旋律分明的作品會擁有清晰易記的器樂或人聲主線。
原聲音質
此指標衡量一首歌曲在多大程度上依賴原聲樂器 (例如鋼琴、吉他、小提琴、鼓、薩克斯風),而非電子或數位合成音效
Valence
歌曲透過和聲與節奏所傳達的音樂積極性或情感基調。數值高通常對應快樂、興奮或愉悅感,數值低則與悲傷、憤怒或憂鬱相關。
節奏感
綜合了節拍穩定性、節奏型態與重拍強度等多重因素,以判定一首歌曲適合跳舞的程度。一首「節奏感強」的歌曲,通常具備穩定的速度、重複的音樂結構與明顯的強拍。
輕快
曲目的律動感可能受節奏快慢、音量起伏與聲譜密度所影響。較輕快的歌曲通常節奏強勁,編曲豐滿;反之,不太輕快的歌曲則可能編曲簡約、節奏較慢。
歌詞
Story ba nyokaaa
Kamchizi fulani hivi (Rest In Peace)
Mamen is more
Mhh mhh
Ilikuwa za kina bar mida ya kumi, mchizi kashapiga kama chupa kumi
Kalewa kajisahau ni most wanted
Nyokaa mchizi wa unga limited
Longa longa basi sikuizi vinafanya kazi
Longa longa mda mrefu wakashtuliwa wazee wakazi (come on)
Wakaibuka na pira lenye chata la chui
Nyokaa alikuwa na chale na ubedui
Akatoa pistol kiunoni kuwashut polisi
Moja nyuma ya gari alikuwa kashika kipisi cha shortgun
Akamlenga begani
Mchizi akataka jibu akawa anapiga hewani
Katokea mchizi mmoja kamlenga ya kichwani
Kachaa kadondoka
Flat akanyokaa
Akawekwa kwenye Wanten akapelekwa mochwali
Kashafanya mambo mengi ya hatari
Hakuwa na roho ya huruma
Kipindi cha uhai wake nyuma
Nyokaa!
Ibilisi alimsukuma
Mungu amlaze mahali pema Peponi amen
Hakuwa na roho ya huruma
Kipindi cha uhai wake nyuma
Nyokaa!
Ibilisi alimsukuma
Mungu amlaze mahali pema Peponi
Amen
Aliingia Selen Breeze moja tunadroo hela
Mimi Pcb na Yuzzo msela
Alikuwa na machizi wake wako kama sita
Wakakalisha benki mzima wakachukua m6
Ukafanyika msako mkali hawakuonekana
Nyokaa na Totoo hizimoo walilingana
Ucriminal walioufanya ulishindika
Labda huyo marehemu Tobii kidogo uliendana
Msala ulipozidi nyokaa akaamia polini
Akajimiksi na Apollo lakini haendi chini
Wakaanzisha kigenge cha kutyme mabrooker
Na kofia za mawe kwenye kempu zinazotoka
Wazee wakapata taarifa zao
Sema ni ngumu kuwashika machizi wanamtandao
Ikifika weekend kambi inaamia mjini
Alikuwa na mazoea ya kuminya stendi ya chini
Hakuwa na roho ya huruma
Kipindi cha uhai wake nyuma
Nyokaa!
Ibilisi alimsukuma
Mungu amlaze mahali pema Peponi
Amen
Hakuwa na roho ya huruma
Kipindi cha uhai wake nyuma
Nyokaa!
Ibilisi alimsukuma
Mungu amlaze mahali pema Peponi
Amen
Maisha yakazidi kwenda
Akazidi jificha
Magazeti yote yakatoa zake picha
Na chapaa kibao kwa atakae mshika
Mchizi kuona hivyo kaanza badilika
Hata washkazi zake akaona kama wanamuuza
Ukimwangalia kidogo anafikiri unamchunguza
Watu waanza mkwepa
Ye akaanza sepa
Mwisho wa nyokaa ukaanza karibia
Akazidi kuwa na roho kama ya ngamia
Ye na piki piki bunduki kiunoni
Ole wako uwe snichi akutie machoni
Akaanza kulewa sana afute mawazo
Na Nyokaa pombe sio tabia yake mwanzo
Aliwahi kunyuti mahakamani mara tatu
Akili ya nyokaa ilikuwa sana fyatu
Siku hiyo za kinabar mida ya saa saba
Mchana kweupe yupo na kahaba
Ndio mwisho wa nyokaa kuishi duniani
Yupo palepale maskini burihani
Hakuwa na roho ya huruma
Kipindi cha uhai wake nyuma
Nyokaa!
Ibilisi alimsukuma
Mungu amlaze mahali pema Peponi
Amen
Hakuwa na roho ya huruma
Kipindi cha uhai wake nyuma
Nyokaa!
Ibilisi alimsukuma
Mungu amlaze mahali pema Peponi
Amen
Hakuwa na roho ya huruma
Kipindi cha uhai wake nyuma
Nyokaa!
Ibilisi alimsukuma
Mungu amlaze mahali pema Peponi
Amen
Hakuwa na roho ya huruma
Kipindi cha uhai wake nyuma
Nyokaa!
Ibilisi alimsukuma
Mungu amlaze mahali pema Peponi
Amen
Written by: ChindoMan

