歌詞

We unga unga mitambo mi niko hewani Mambo yanaendaga na fani Funga virago your job is done Bahari ikichafuka inakuja tsunami Usipoelewa somo watu wanakupiga Eeeh. Unauliza majibu Kupata heshima unachimba deep Ila ukitaka dharau ni very cheap Rudisha akili uliko azima Huwezi kakutanisha milima Tafuta kitu cha kujipima Ukishindana na pombe unataka kuzima Weka ushindani, fine me I don't mind Unauza sura mtaani people don't buy And you know what? Sema bye bye Haukai disco limeingia masai Achia njia. Achia (achia) njia Achia njia. Achia (achia) njia Achia njia. Achia (achia) njia Eeh. Achia njia. Achia (achia) njia Unashangaa mataa Biashara hailipi unakataa Hapana bana, me I don't like that Usinijaribu kama nguo ya kuvaa Na break it down Hhaaa. Macho juu macho chini chini Vipi umepoteza Discipline Unachekesha kama Mr. Bean Acha kuchimba watu chimba madini Huo uchizi umekuanza lini? Au umefuata mambo ya mjini? Heee. Uliwaza nini? Ukaacha viwanja ukaja kucheza relini Eeeh. Achia njia Achia (achia) njia Achia njia. Achia (achia) njia Achia njia. Achia (achia) njia Eeh. Achia njia. Achia (achia) njia Achia njia. Achi (achia) njia
Writer(s): Ramadhani Thabit Shariff, Remy Mushi, Sweetbeth Mwimula Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out