歌詞

Mmmh,mmmmh Uwooo yeiye (Mocco) Mmmh,mmmmh Ndo kusema kwamba nina bahati mbaya Ama ni nyota imefifia ah Maana sio kweli Kila siku mimi ndo naumia Ndo kusema kwamba sura yangu mbaya Haina hulka ya kuvutia ah Maana sio kweli Kila siku mimi ndo naumia Ina maana penzi Lingekuwa chombo cha usafiri Ningekosa hata sehemu ya kusimama Ningewezaje? Nitawezaje? Au labda mapenzi Hufaa kwa matajiri Alafu mi hapa sina maana Sa nitaanzaje? Nitaanzaaje? Inawezekanaje nikose kufurahi Siku zote ninazoishi na uhai Najua Mungu hapendi Walimwengu mna visa Nikisema niage nitakuwa najilaghai Moyo utakuwa bado unanidai Acha niweke imani Ipo siku nitaridhishwa Aya! Aya! Aya! Aya! Na sinacho maanisha mnakijua Kuyakosa mapenzi inanitesa Sawa nakua nayaona Sa mbona yananizidia? Hivi nacho maanisha mnakijua? Upweke unanitesa Halafu nakuwa nawaona Wengine wanaenjoy(Aaah!) Ingekuwa gambe Ndio dawa ya mawazo Ningekunywa nilewe Aah nilewe, nilewe Inawezekanaje nikose kufurahi Siku zote ninazoishi na uhai Najua Mungu hapendi Walimwengu mna visa Nikisema niage nitakuwa najilaghai Moyo utakuwa bado unanidai Acha niweke imani Ipo siku nitaridhishwa Aya! Aya! Aya! Aya! MoccoGenius!
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out