歌詞

Mziwanda aaaah aaah aah Baby nakosa mabawa Mwenzako nachechemea Unavofanya naona sawa Na Mimi na moyo naumia Napata habari wewe unakula Bata Wewe wa tungi na starehe Wala huna Habari mashoga wamekuteka umekuwa asha ngedere Kujitoa kafara kwenye penzi lako Ilimradi uridhike (unavofanya sio saw) Hauna shukrani nimeamini ya kweli punda mateke Ona na na naaaah Natapatapa kinomaio Natapatapa ukigo Natapatapa kinomaio Natapatapa ukigo Natapatapa kinomaio Natapatapa ukigo Natapatapa kinomaio Natapatapa ukigo Umebadilika Sanaa umekuwa jini kisirani oweee yo! Tabia yako bwana mamawe aufanani (oweee yooh!) Mi nakumiss vile baby unavokidekaga aaah vile baby ukidekaga Wewe uko wapi nakumis wangu bi Dada aaah wangu bidadah Napata habari wewe unakula Bata wewe Ni watungi na starehe Wala hauna habari mashoga wamekuteka umekuwa asha ngedere Kujitoa kafara kwenye penzi lako ilimradi uridhike unavofanya sio sawa Hauna shukrani nimeamini kweli ya punda mateke ona Nana aah Natapatapa kinomaio Natapatapa ukigo Natapatapa kinomaio Natapatapa ukigo Natapatapa kinomaio Natapatapa ukigo Natapatapa kinomaio Natapatapa ukigo Unaniumiza roho Mziwanda what's up Natapatapa kwa penzi lako Natapatapa aaah yeah! Mm Natapatapa juu ya penzi lako End
Writer(s): Donald Rwebangira Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out