積分

演出藝人
Patrick Kubuya
Patrick Kubuya
演出者
詞曲
Patrick Kubuya
Patrick Kubuya
詞曲創作

歌詞

Moyo wangu, ukae kimya
Amen
Ooh, moyo wangu
Moyo wangu, usilie tena
Moyo wangu, usibabaike
Unaye Mungu, mkuu sana
Unaye Mungu, muweza wa yote
Aliingia rohoni mwangu, kanipa kutulia
Kaniambia "Ewe mwanangu usilie lie tena"
Aliingia rohoni mwangu, kanipa kutulia
Kaniambia "Ewe mwanangu usilie lie tena"
Ninajua shida zako, mimi nitazitatua
Bila Yesu, mimi ni mtu bure
Bila Yesu, mimi ni mtu bure
Kati giza, Yesu mwanga wangu
Kati huzuni, Yesu ni mfariji
Kati vita, Yesu mwamba wangu
Katika njaa, Yesu mkate wa uzima
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha
Anajua shida zangu, yeye anazitatua
Bila Yesu, mimi ni mtu bure
Bila Yesu, mimi ni mtu bure
Eh-eh-eh-eh-eh-eh-eh ooh, Bwana wewe
Aliingia ooh (aliingia rohoni mwangu), kanipa (kanipa kutulia)
Kaniambia we-eh, usilie (kaniambia "Ewe mwanangu usilie lie tena")
Aliingia rohoni, hallelujah (aliingia rohoni mwangu, kanipa kutulia)
Kaniambia we-eh, usilie (kaniambia "Ewe mwanangu usilie lie tena")
Ninajua shida zako (ninajua shida zako mimi nitazitatua)
Bila Yesu (bila Yesu, mimi ni mtu bure)
Ooh bila Yesu wangu, Bwana wangu (bila Yesu, mimi ni mtu bure)
Oh aliingia roho (aliingia rohoni mwangu), kanipa (kanipa kutulia)
Kaniambia we-eh, usilie (kaniambia "Ewe mwanangu usilie lie tena")
Aliingia (aliingia rohoni mwangu), kanipa (kanipa kutulia)
Kaniambia we-eh, usibabaike (kaniambia "Ewe mwanangu usilie lie tena")
Najua shida zako, nitazitatua (ninajua shida zako mimi nitazitatua)
Bila Yesu, eeh (bila Yesu, mimi ni mtu bure)
Bila Yesu, eeh-eh (bila Yesu, mimi ni mtu bure)
Eh-eh-eh-eh-eh-eh
Ndani ya Kristo ninaweka (tumaini langu)
Sijui bila wewe Bwana wangu eh (ningekuwa wapi)
Ndani ya Kristo ninaweka (tumaini langu)
Sijui bila wewe Bwana wangu eh (ningekuwa wapi)
Eh Yahweh, we ni yote kwangu (yote kwangu)
Eh Yahweh, we ni yote kwangu
Eh Yahweh, we ni yote kwangu (yote kwangu eh)
Eh Yahweh, we ni yote kwangu (eh Yahweh)
Eh Yahweh, we ni yote kwangu (we ni yote kwangu eh)
Eh Yahweh, we ni yote kwangu (eh Yahweh)
Eh Yahweh, we ni yote kwangu (eh Yahweh, ooh-oh-oh)
Ooh Baba sitanyamaza
Asubuhi kama vile mchana nitakuita wewe, oh-ooh
Ooh Baba sitanyamaza, oh-ooh
Eh Yahweh, we ni yote kwangu eh
Eh Yahweh, ningekua wapi ooh
Eh Yahweh, we ni yote kwangu
Eh Yahweh, ningekua
Imba Yahweh (eh Yahweh, we ni yote kwangu)
Nitapenda kila mmoja aimbe hii wimbo (we ni yote)
Amwambie "Bwana we ndio yote kwangu (eh Yahweh)
Bila wewe ningelikua wapi Bwana?" (we ni yote)
Eh Yahweh, we ni yote kwangu (we ni yote)
Eh Yahweh, ningekuwa wapi (we ni yote yote, we ni yote)
Eh Yahweh, we ni yote kwangu (ooh)
Est-ce que kuko roho in'ezi inuka, imu habudu Mungu magharibi ya leo?
Est-ce que kuko roho in'ezi ambiya Mungu "We ndio yote kwangu?
Wakati nilikua sina kitu, ulikuwa yote kwangu
Wakati niko na kitu uko yote kwangu
Wakati tena nitakosa utabakia yote kwangu
Sijaona aliye kama wewe muumbaji wa mbingu"
Hallelujah
Written by: Patrick Kubuya
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...