音樂影片

Ethic Entertainment - Dondoka (Official Music Video)
觀看 {artistName} 的 {trackName} 音樂影片

收錄於

積分

出演艺人
Ethic Entertainment
Ethic Entertainment
表演者
Boniface Mwangi
Boniface Mwangi
演唱
Peter Njau Kinya
Peter Njau Kinya
演唱
Thomas McDonald Otieno
Thomas McDonald Otieno
演唱
Leroy Miwa Ouma
Leroy Miwa Ouma
演唱
作曲和作词
Boniface Mwangi
Boniface Mwangi
词曲作者
Peter Njau Kinya
Peter Njau Kinya
词曲作者
Thomas McDonald Otieno
Thomas McDonald Otieno
词曲作者
Leroy Miwa Ouma
Leroy Miwa Ouma
词曲作者
Morris Kobia Lyria
Morris Kobia Lyria
作曲
Ammadoh
Ammadoh
作曲
制作和工程
Morris Kobia Lyria
Morris Kobia Lyria
制作人
Ammadoh
Ammadoh
制作人

歌詞

Dondoka, dondoka, dondoka (It's Amado on the Beat) Dondoka, dondoka, dondoka (Motif Di Don) Na nikipata naipima pima Naipanda nalima Nikipata naipima pima Naipanda nalima Na ikichapa jo nadondoka eey Dondoka dondoka eey Dondoka eey Dondoka, dondoka eey Yeah na asante ya punda ona mateke Nikikuna utaumoja nastete Waveve ndo zikigondi nisikaokote Wadebee ndo hizo diaba zitokote Anadai kuona sijui ati abonge matope Anadai ndizi na hapa ndakas ni matoke Si kam fast mi mslow naenda ka kobe Mangeus siku hizi wanaball kuliko mapromo Na nikipata naipima pima Naipanda nalima Nikipata naipima pima Naipanda nalima Na ikichapa jo nadondoka eey Dondoka dondoka eey Dondoka eey Dondoka, dondoka eey Skiza kuna toto na amebeba Jegi ndani ya bukla zitatesa Vile kanakata katatepa Ngwaa sito na kwa jiko katatendwa Bruh kulikujagwa na stingo ikatubamba Bruh tukapatangwa ma dwanzi anatubamba Akatupanga Njoki anapatiananga Ata makasee aliwapatiananga Na nikipata naipima pima Naipanda nalima Nikipata naipima pima Naipanda nalima Na ikichapa jo nadondoka eey Dondoka dondoka eey Dondoka eey Dondoka, dondoka eey Kana za kipasapasa vako za matindi Seti napokatapanda vako za maringi Kanapiga shot naacha alama ya kidi Leo utapiga noise daro ata ka ni piri We ukipiga noise natakapa piri Atakuta mao double maithaa ya P.E Najua umeiva jo ka kinyaru Na ass umebeba jo ka kinyaru Na nikipata naipima pima Naipanda nalima Nikipata naipima pima Naipanda nalima Na ikichapa jo nadondoka eey Dondoka dondoka eey Dondoka eey Dondoka, dondoka eey
Writer(s): Peter Njau Kinya, Leroy Miwa Ouma, Thomas Mcdonald Otieno, Boniface Mwangi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out