積分
演出藝人
Shilole
演出者
詞曲
Zuwena Yusuph Mohamed
詞曲創作
歌詞
[Verse 1]
Piga mashooti mashepu achana naye
Usije fungua kazipu, ukaumia roho
Wacha wetu usiwape gepu wakome ng'oo
[Verse 2]
Mashallah!
Ushajua nakupenda, ringa
Ringa waba mpaka nikomoke
Eeh wallah
Kweli penzi ni kidonda vimba
Piga msamba mpaka nichanike
[Verse 3]
Mmmh kanipa moto moto
Kanitoa baridi
Kaacha utoto utoto, kajiona zaidi
Mapenzi kipima joto
Kanipima baridi
Ulipo na mimi nipo kikubwa nifaidi
[PreChorus]
Mwenzako beiby kanachonyota
Kamoyo kanachonyota
Kana ungua ungua go, kanachonyota
Ooh beiby, kanachonyota
[Chorus]
Aah, aah, ukinitekenya usiguze kwenye mbavu
Ukinitekenya ah naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye shingo
Ukinitekenya naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye mbavu
Ukinitekenya maana naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye shingo
Ukinitekenya aah naona raha
[Verse 4]
Fungua macho papasa
Kama sabuni takasa
We fungua mikitasa
Nishadataa
[Verse 5]
Cheza bolingo chakacha
Kizunguzungu zunguka
Kama masai naruka, nishadataa
[Verse 6]
Mashallah!
Ushajua nakupenda, ringa
Ringa waba mpaka nikomoke
Eeh wallah
Kweli penzi ni kidonda vimba
Piga msamba mpaka nichanike
[PreChorus]
Mmh, kanipa moto moto kanitoa baridi
Kaacha utoto utoto, kajiona zaidi
Mapenzi kipima joto kanipima baridi
Ulipo na mimi nipo kikubwa nifaidi
Mwenzako beiby kanachonyota
Kamoyo kanachonyota
Kana ungua ungua go, kanachonyota
Ooh beiby, kanachonyota
[Chorus]
Aah, aah, ukinitekenya usiguze kwenye mbavu
Ukinitekenya ah naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye shingo
Ukinitekenya ah naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye mbavu
Ukinitekenya maana naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye shingo
Ukinitekenya aah naona raha
Written by: Zuwena Yusuph Mohamed

