歌詞

Eeeh Eeeh Imma gonna holla at ya Imma gonna holla at ya Eeeh Imma gonna holla at ya Eeeh eeh excuse miss can i get ur number Can i get ur number Excuse miss can i get ur number Can i get ur number Eeeh Imma gonna holla at ya Imma gonna holla at ya Eeeh Imma gonna holla at ya Na nikivuta waya Waya ujue nishajikoki Na nikivuta waya Waya ujue nishajikoki Mimi sina ma story mob Story ni moko tu temana na zile mob Story mitoko tu Story mikoko tu Marafiki mapopo full Demu for you wanajifanya wamelewa Na kumbe wana stress za kuolewa boo Subiri maisha yawapigie boo Nipe number mi ni come through Makini siyo waluwalu nishazichanga Changia mawazo tujenge hekaru It has been along time hustle Tz Jay Z raso Walai kwako mimi nachotaka nilipark Mazima mama ma vacay national park Ma vacay Mama K i know your smart Joh nimebarikiwa wala sio kismati We play smarter rafikizo walisema nini It doesnt matter ulimbo nimenasa Ka umbo ni swadakta ulingoni sikuachi Gere mifimbo mi nachapa maringo ndo kabisa nazidisha Nkikupata dili zangu ndefu hazina ukingoni Ka tabasamu kama kidoti wa kingoni hii Wapinzani hawahemi maji shingoni Soooo Excuse miss can i get ur number Can i get ur number Excuse miss can i get ur number Can i get ur number Eeeh Imma gonna holla at ya Imma gonna holla at ya Eeeh Imma gonna holla at ya Eeeh Imma gonna holla at ya Hata walete compe compe Ushindani mi siogopi Weusi ni company shawty Mi siropoki Na Nikivuta Waya Wayaa Ujue nishajikoki Selfmade pesa ya starehe skopi Cash flow Kwenye mzunguko mimi stoki Keshooo Haitokuwa na shaka siongopi Poteza muda Ila sio hii bahati ati Usinipotezee katikati Binti nipoteze kwenye moyo Mangi mtamu nitakuruhusu Kuwa mchoyo sikuja kula tunda Nimekuja kupanda mbegu ya matunda Sisi tuwe mizigo maisha yawe punda Kwa lugha ya nyumbani nkukunda Leo nimegonga like kesho nitapenda ila Siunajua kupenda kweli Sio kupendagaaa vile unakaa ni costar kwenye hili movie Na vile mimi ni star haswa It gon be a movie shawty Imma gonna holla at ya Imma gonna holla at ya Eeeh Imma gonna holla at ya Imma holla at ya Eeeh eeh excuse miss can i get ur number Can i get ur number Excuse miss can i get ur number Can i get ur number Eeeh Imma gonna holla at ya Imma gonna holla at ya Eeeh Imma gonna holla at ya Na nikivuta waya Waya ujue nishajikoki Na nikivuta waya Waya ujue nishajikoki Na nikivuta waya Waya ujue nishajikoki Na nikivuta waya Waya ujue nishajikoki
Writer(s): Jackson Makini Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out