音樂影片
積分
出演艺人
Snura
表演者
作曲和作词
Snura
作曲
歌詞
(Haya!)
Woza, woza, woza, woza, woza
Wakacha, wakacha, wakacha, wakacha
Wanakwambia kama kawa, kama dawa, eh!
Hii yapa nyingine tena
Sauti ya princess Snura, nyonga laini mkali wa stejini
Nipo na producer bora Habidaddy
Kataa na hii tuone sasa
We Hyperman HK msalimie huyo, japo kuwa msaliti
Mwambie asiyempenda kaja kivingine
Utaipenda tu, hii yapa hii
Chura ananesanesa, chura
Chura anarukaruka, chura
Chura ananesanesa, chura
Chura anarukaruka, chura
Jamani chura huyo, mama chura huyo
Masela chura huyo, mama chura huyo
Kinondoni chura huyo, mama chura huyo
Kiwalani chura huyo, mama chura
Mwananyamala chura huyo, mama chura huyo
Ilala chura huyo, mama chura huyo
Mbagala chura huyo, mama chura huyo
Temeke chura huyo, mama chura huyo
Manzese chura huyo, mama chura huyo
Chura ananesanesa, chura
Chura anarukaruka, chura
Chura ananesanesa, chura
Chura anarukaruka, chura
Kama kupenda, Snura nishapenda
Sihitaji tena sababu nishatendwa
Nilipe nisepe tuonane kesho
Au kama hutaki fanya mpango uende
Nishachoka haya mapenzi, nishachoka
Nishachoka mi kutendwa, nishachoka
Yanaumiza moyo
Mapenzi yanaumiza moyo
Masela yanautesa moyo
Mapenzi yanaumiza moyo
Siwezi kunywa sumu kisa mapenzi
Siwezi kunywa sumu kisa mapenzi
Siwezi kunywa sumu kisa mapenzi (kunywa sumu)
Siwezi kunywa sumu kisa mapenzi (kunywa sumu)
Akileta mchecheto, mwache akamatwe
Akileta mchakato, acha tumfate
Akileta mchecheto, mwache akamatwe
Akileta mchakato, acha tumfate
Akileta shobo, mvute, mvute, mvute
Tutampa mkong'oto, mshike, mshike, mshike
Akileta shobo, mvute, mvute, mvute
Tutampa mkong'oto, mshike, mshike, mshike
Chura ananesanesa, chura
Chura anarukaruka, chura
Chura ananesanesa, chura
Chura anarukaruka, chura
Jamani chura huyo, mama chura huyo
Masela chura huyo, mama chura huyo
Kinondoni chura huyo, mama chura huyo
Kiwalani chura huyo, mama chura
Mwananyamala chura huyo, mama chura huyo
Ilala chura huyo, mama chura huyo
Mbagala chura huyo, mama chura huyo
Temeke chura huyo, mama chura huyo
Manzese chura huyo, mama chura huyo
Chura ananesanesa, chura
Chura anarukaruka, chura
Chura ananesanesa, chura
Chura anarukaruka, chura
Wanakwambia kama, kawa kama dawa, eh
We Reki mommy ole wake Tanga anatokamo
Mwambie mtesi apeleke moja, moja
Tunakumbuka sasa zile adhabu za shule
Tunaruka kichura chura
Kichura chura, ruka kichura chura
Kichura chura, mtesi kichura chura
Kichura chura, kina dada kichura chura
Kichura chura, jirushe kichura chura
Kichura chura, peleka kichura chura
Kichura chura, jirushe kichura chura
Kichura chura
Nipo na Saccoss Mayanga
Wajela-jela nao wanaruka
Walete kati kati, walete
Walete waje wacheze walete
Walete masela walete
Walete ma-sister du, walete
Hata ukinuna bakora zinaendelea tu
Ki-Bob Marley, ruka ki-Bob Marley
Ki-Bob Marley, tucheze ki-Bob Marley
Ki-Bob Marley, majita ki-Bob Marley
Ki-Bob Marley, kinadada ki-Bob Marley
Ki-Bob Marley, ruka ki-Bob Marley
Ki-Bob Marley
Mc Sudi tulia, chura anapenda kuoga ila sio na sabuni
Writer(s): Snura Mushi
Lyrics powered by www.musixmatch.com